Habari wana jfcc! weekend iko bien! karibuni sana niko pande za dom makao makuu ya chama na siri kali! Hehehe! Naianza taratiiib hapa master pub badae chakonichako kisha ntajirusha klub 84! Peace n love!
watu8, Mtambuzi madameb Kipaji Halisi Mentor Paloma King'asti amu cacico snowhite Kipipi Nicas Mtei marejesho Filipo et al
Karibu sana mpendwa.
ID yako nyingine ni ipi.
..tumekusikia..hujasema ulala wapi au ndio royal village au african dream..?Habari wana jfcc! weekend iko bien! karibuni sana niko pande za dom makao makuu ya chama na siri kali! Hehehe! Naianza taratiiib hapa master pub badae chakonichako kisha ntajirusha klub 84! Peace n love!
watu8, Mtambuzi madameb Kipaji Halisi Mentor Paloma King'asti amu cacico snowhite Kipipi Nicas Mtei marejesho Filipo et al
naishi huku boss...karibu sana!..tumekusikia..hujasema ulala wapi au ndio royal village au african dream..?
Karibu sana mpendwa.
ID yako nyingine ni ipi.
Habari wana jfcc! weekend iko bien! karibuni sana niko pande za dom makao makuu ya chama na siri kali! Hehehe! Naianza taratiiib hapa master pub badae chakonichako kisha ntajirusha klub 84! Peace n love!
watu8, Mtambuzi madameb Kipaji Halisi Mentor Paloma King'asti amu cacico snowhite Kipipi Nicas Mtei marejesho Filipo et al
mbona mi hujanitaja inamaana hiyo peace na malovee iwaendee uliowataja hapo juu tuu sawa tuuuuu tutakutana njia panda
Acha mizinguo wewe Kadudu24!!
Mgeni gani unawajua wanajamvi wote?
Mgeni gani anajua kumention membaz?
Mgeni gani ...