Hicho ndicho kisingizio chenu kikubwa. Hakuna kitu kama hicho.... Hivi hao wanaume wanaocheat wanacheat na manyani? Wote wanaume kwa wanawake wanacheat kwa sababu zilezile.... Tamaa, tabia, visasi, ushawishi nk nk nktatizo wanaume wanapenda kudanganyika....ukitaka kujua ukweli jifunze maana ya maswali hya mawili na majibu yale
1...ulishawai kutembea na wanaume wangapi?
2...ulishawai kuwa na mahusiano mangapi?......tatizo linakuja pale unapopewa jibu la swali no moja kwenye no mbili na no mbili kwenye no moja......but always sisi ni wakweli ...hata tukiteleza jua wanaume ndo wamesababisha..wanaume ndo wanasababisha wanawake kuwa mguu pande mguu sawa..
Comrades Nyani Ngabu, The Boss na babu mwenzangu Dark City
Huu mfano wa TB unaweka wazi na ukweli jinsi hawa watu wa jinsia pinzani walivyo wazuri kwenye kucheat/kupretend. Lakini mwisho wa siku utakuta wana udhaifu wa kuiweka siri kwa muda mrefu.
Nlishawahi kukutana na mama mmoja ambaye mmewe alikuwa mbali kwa muda mrefu sana. Alionekana alivutiwa nami na kutaka nimkatie kiu. Mi si mtu nayependa kutoka na wake za watu lakini mmama huyu bana... I think you know what I mean....
Alinambia mmewe ndo alikuwa mwanaume wa kwanza kukutana naye kimwili. Yaani ndie aliyembikiri! Ofcourse nlijua ananidanganya lakini alipohusisha jina la Yesu kwenye kuapa kidooogo nikaanza kumuamini. Then ikawa vile kwa bahati mbaya (shetani na ashindwe)
Haukupita muda sana nikaja nikagundua si tu kuwa aliolewa na aliyembikiri, bali pia aliolewa akiwa na mtoto tayari!! Mwanamke ukimbana kwenye kona, ni mwepesi wa kufunguka na kuomba msamaha. Vidume ni vigumu kukiri asee. Nakumbuka kuna kidume kilifumaniwa live gesti na mkewe lakini kikakataa katakata kuwa hakijammega ila kilikuwa kwenye process ya kummega wakati kilishatumbukiza goli tatu nyavuni. Tena kikamshukuru mkewe kwa kumuwahi kabla hajavunja amri ya sita na kusema kuwa kwa mkewe kufika pale ulikuwa mpango wa Mungu ili kumwepusha na dhambi na maradhi!!
Naungana na wote kuwa wanawake ni wazuri sana kuficha siri zihusuzo mapenzi na ni wazuri sana kupretend lakini pia wana kasoro ya kutotunza siri hizo kwa muda mrefu. Wanakamatika kirahisi sana baada ya muda.
Natamani sana King'asti na wake zangu BADILI TABIA, cacico na Yummy wasisome hii post.
asilimia kubwa ya wanawake wanaotoka nje chanzo ni wanaume...maudhi ...revenge ...nk...always tupo good ..sijawai kucheat... but huwa nashawishiwa kucheat....Hicho ndicho kisingizio chenu kikubwa. Hakuna kitu kama hicho.... Hivi hao wanaume wanaocheat wanacheat na manyani? Wote wanaume kwa wanawake wanacheat kwa sababu zilezile.... Tamaa, tabia, visasi, ushawishi nk nk nk
asilimia kubwa ya wanawake wanaotoka nje chanzo ni wanaume...maudhi ...revenge ...nk...always tupo good ..sijawai kucheat... but huwa nashawishiwa kucheat....
join them lolHahahahahahaha,
Kaka,... ndo umegundua leo kwamba watu wenye pyepye nyingi (kama wanaume) mara nyingi huwa wana zero score kwenye maunjanja ya maisha??
Ndiyo maana hawa wadau huwa wanatu-enjoy!!
Anyway, if you can't fight them.....!!
Babu DC!!
lakini ndo ivoSasa unafanyia revenge mwili wako tena???
(Kwa tetesi, sex bila connection haina tofauti na kubakwa na stranger yeyote)
Si bora umfanye mwanamme huyo aliyekukosea abakwe na wanawake wengine ili mwili wake uzidi kuchafuka??
Sasa unafanyia revenge mwili wako tena???
(Kwa tetesi, sex bila connection haina tofauti na kubakwa na stranger yeyote)
Si bora umfanye mwanamme huyo aliyekukosea abakwe na wanawake wengine ili mwili wake uzidi kuchafuka??
Kongosho ulishawahi sikia ule wimbo wa Mwana FA washikaji wakikumegea demu wako na wewe .......(malizia hapo palipobaki) na kwa wanawake inapply hivyo hivyo!
50/50%
boss i wish i met you before aisee ningekuliza, yaani do you know the secrets behind us? do you know that women posses secret phone numbers which you don't know and you will never find it?mwanamke akifanikiwa kunidanganya ujue
ama i pretend nimedanganyika au i dont love her that much....
otherwise i can tell the truth....so fast
boss i wish i met you before aisee ningekuliza, yaani do you know the secrets behind us? do you know that women posses secret phone numbers which you don't know and you will never find it?
sasa ngoja nikwambie hivi i have an office mate we are very close and tuko wasiri sana btn me and her. ana mcheat hubby wake but you wont know it. kwanza she never uses her mobile phone, nor her hand set. ana simu mpya iko kwa droo yake ambayo inafunguliwa anapotaka kuwasiliana na patna wake. akimaliza anaswitch off.
wakitaka kukutana wana meet at the hotel kila mtu anakwenda kivyake na anatoka kivyake and not near by atakwenda bagamyo ama zanzibar kwa hiyo siku anafanya mambo yake anarud kimya kivyake. ana kanda maeneo na barafu baada ya hiyo kazi kisha anaweka liners kwenye pant yake mpaka afike home kakauka wala hujui kama kaingiliwa. and hili linafanyika mara moja kwa mwezi ena she neva switch off her phone so akipigiwa na hubby anaongea nae and so forth. acha kabisa.
gfsonwin yaani nimepapenda hapo kwny blue sijui hata kwanini!