Hmm smile !

Nimeipenda sana picha hii, FIRSTLADY, tuambia ni kina nani hao?
 
sasa hapo mama yupi mwana yupi.....kama mama ndiye huyo ninaye muhisi basi yuko juu sana
 
haioni ki2 kwa hii k2 ya Leonardo! achana na akina first lady, preta, queen nkami, dena amsi, belinda jacob, Js, n.k namaanisha blak c6z. Black z beuty.nasisitiza.
 
Mhhh FL1,

Mimi nilidhani kale katoto ka JF kanaokoitwa Smile (pia kanaipenda Infi) kamepatwa maswaibu fulani vile. Hata hivyo pics zako ni poa tu kuwa kuosha macho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…