Hlia halisi ya vyuoni

Magofu je?
 
Sasa kama UDOM wataongeza lecturers wa nn na wakati baadhi ya majengo yao wamezipatia wizara na idara za serikali watumie kama ofisi? Hii ina maana hawana mpango wa kuongeza wanafunzi kwa miaka ya karibuni!
 
aiseee!!!!!
 
Sasa kama UDOM wataongeza lecturers wa nn na wakati baadhi ya majengo yao wamezipatia wizara na idara za serikali watumie kama ofisi? Hii ina maana hawana mpango wa kuongeza wanafunzi kwa miaka ya karibuni!
Watapunguza labda au kufuta chuo serikali ihamie hapo?
 

Duuuhh! Asee noma mtu wangu si kwa zihaka namna hii!!, mi SUA kumbe afadhali, basi sawa.
 

Takataka ni kusoma Computer sayansi udsm ukaacha Architect Ardhi kisa ni UDSM
 
Nna mashaka n uiengineer wako..
 
toa jibu la swali uliloulizwa.. kelele nyingi halaf pointless..!!!!
 
mchangiaj na we pia ni takataka
 
hivi vyuo vingine Takataka!!!

Ndio maana nasema vyuo vingine ni Takataka tuu..
Mzumbe, UDOM, DIT, SAUT, SJUIT, IFM, CBE, ARU vyote Takataka tuu...
Kidoogo SUA na MUHAS vina hadhi.

Huu ni ushamba na ulimbukeni .... Unajiona mjanja sana kudharau vyuo vingine ?
 
Mim ni mwanafnz wa udom nasem hivi KWELI udom nilipo takataka 100% kwanz uongoz kuanzia juu hakun kitu
udom ubabe mwing na wameona sasa ili kukiandisha hadhi ni kuwapa disko za kutosha wanafunzi wa pale wanaelewa hilo...
 
Hivi inakuwaje mwaka wa pili huu vyuo haviajiri wakufunzi?
kuna hali gani huko vyouni..Udom.etc?
Ni kawaida mkuu! Huwa wanaajiri kulingana na uhitaji lakini pia kulingana na bajeti iliyopo serikalini maana nao huwa wanaomba vibali vya kuajiri ndio waweze kuajiri!
Na hizi ajira za wakufunzi huwa hazifanyiki kila mwaka kwa kutangazwa kama ilivyo zingine sometimes wanaweza kuajiri kimya kimya kwa kuona labda kuna mtu wanamwitaji hivyo wakamuombea kibali cha kumwajiri kimya kimya bila kutangaza mlio nje ya mfumo mkaona fulani yupo chuo anafundisha!

Lakini hoja kubwa tangu mwaka jana ilikuwa kusimamishwa kwa ajira nadhani wakipewa kibali cha kuajiri wataajiri tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…