Kim-Jong-Un JF-Expert Member Joined Jan 23, 2015 Posts 356 Reaction score 190 Feb 2, 2015 #41 miss chagga said: hapo sasa huku kunahitaji hewa Click to expand... kweli.... si unajua tena mambo ya "garbage in" garbage out". Hewa muhimu kama mtu unavyo hitaji hewa safi kwa kujinafasi.
miss chagga said: hapo sasa huku kunahitaji hewa Click to expand... kweli.... si unajua tena mambo ya "garbage in" garbage out". Hewa muhimu kama mtu unavyo hitaji hewa safi kwa kujinafasi.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,109 Feb 2, 2015 #42 Kim-Jong-Un said: kweli.... si unajua tena mambo ya "garbage in" garbage out". Hewa muhimu kama mtu unavyo hitaji hewa safi kwa kujinafasi. Click to expand... najua umuhimu wake
Kim-Jong-Un said: kweli.... si unajua tena mambo ya "garbage in" garbage out". Hewa muhimu kama mtu unavyo hitaji hewa safi kwa kujinafasi. Click to expand... najua umuhimu wake
M Madam Mwajuma JF-Expert Member Joined Sep 13, 2014 Posts 7,076 Reaction score 6,774 Feb 2, 2015 #43 huwa napenda sana kanga nkiwa home aisee hasa iwe na rangi nyeupe au rangi yeyote yakungaa nakupendeza looo ila kutoka nayo huyo kazidi
huwa napenda sana kanga nkiwa home aisee hasa iwe na rangi nyeupe au rangi yeyote yakungaa nakupendeza looo ila kutoka nayo huyo kazidi
mkemiamkuu JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 355 Reaction score 284 Feb 2, 2015 #44 kibafute said: yaani thread nzuri lakini inakosa picha kuhanikiza michango ya manguli wa mambo ya kanga ....na mambo ya mwambao Click to expand... Tyta leta mambo mkuu
kibafute said: yaani thread nzuri lakini inakosa picha kuhanikiza michango ya manguli wa mambo ya kanga ....na mambo ya mwambao Click to expand... Tyta leta mambo mkuu
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Feb 2, 2015 #45 slim5 said: mamaafacebook njoo utie neno hapa Click to expand... ameongea point sana hasa hapo mwisho kwenye herufi kubwa
slim5 said: mamaafacebook njoo utie neno hapa Click to expand... ameongea point sana hasa hapo mwisho kwenye herufi kubwa