Hii imekaaje?!? Polisi anavunja sheria ili amkamate dereva anayevunja sheria! Hii ni sawa? Ni sahihi kulala kwenye reli? Tena anavunja sheria akitumia kodi zetu! Pale hana chochote cha kwake mwilini mwake, labda chupi tu kama kavaa. Vyote ni mali yetu sisi walipa kodi kuanzia sweta mpaka tochi!!!!