kwa huku Arusha ni shivers
unasema pale karibu na Goldrose
hapo hapo ziko za kila rangi na ukubwa tofauti[/QUOTE
shivaz eneo muhimu sana katika maisha yangu daily napatikana hapo.
Nilikuw nauliza tu, rangii hii ya ukuta inafaa kupaka sebuleni au chumbani…?
Jori au kambi ya fisi ila kuna mali mpya kwa magomeni kwa macheni
Swissme
Paka kwenye ukuta wa uani. Utapendeza sana
hii rangi ningekuwa mimi napaka nyumba nzima!!!! tena jirani akifanya mchezo naruka ukuta napaka na uani kwake!!