Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,625
- 29,891
Tumeona... Kuna huo ujinga kuwa kwa sababu hatujazidhamini basi zinakomaa zinapocheza na Yanga. Ili sasa kuvutia GSM iweke dau.
Huo ni ujinga mbwah nyie. Yanga bado ni team bora Afrika kwa sasa. Na ina uwezo mkubwa sana. Tupo nayo na tunatamba nayo. Msimu huu pia tunachukua Kombe. Mtake msitake Yanga Bingwa.
Hilo limeandikwa lazima litimie. Tulisema ni mfululizo mara 10 .hii ni team ya chama na serikali,. Team ya nchi. Team ya Taifa. Utake itafanya vizuri. Usitake itafanya vizuri.