Mtafiti mmoja huko Massachusetts Marekani ya Kaskazini ( jina lake limehifadhiwa ili kumlinda kutoka kwa wale ambao watapovuka na utafiti wake huu ) ambaye ni Mtaalam pia wa masuala mazima ya Saikolojia amesema kwamba ukiona Mtoto yoyote mwenye kati ya miezi 6 hadi hadi miezi 9 ana hizi dalili zifuatazo:
Analia lia sana
Usiku halali
Anakojoa kupitiliza
Anatoa sana haja kubwa usiku
Hataki kubebwa na wengine isipokuwa Mama yake tu
Ananyonya mno maziwa
Anapenda kumng'ata Mama yake maziwa hadi anamuumiza
jua ya kwamba atakuwa kuwa siyo Raia mwema akiwa mkubwa na pengine anaweza akaja kuwa hasara kubwa sana katika Jamii na hata Serikali hatimaye kupelekea Maendeleo ya nchi husika kuwa nyuma au kuzidi kuchelewa.
Je Wataalam wa haya masuala ya Saikolojia ya Uzazi hapa JF hili lina ukweli au Mtafiti huyu amekengeuka / amepotoka tu?
ahahaaa kuna watoto wengi tu wa hivo ila tatizo linatokea kwa sababu anashinda na mama yake tu . kila saa mgongoni akishazoea inakuwa shida . anakuwa hajafunzwa kujitegemea yaani.mtoto anaeishi nyumba yenye watu wengi anakuwa hana shida yoyote