Mimi najua ya "Kill them with smile, burry them with success"
Mbona ya kawaida sana?
Acha ushamba wewe.
Mimi wanaonikera ni wale waswahili kutwa vijembe.
Aiseee kuna watu wana maneno hatariiii.
Wenye simu feki tayar wameshaanza kubadilisha status [emoji3][emoji3][emoji3]kuna mmoja nimemshtukia eti kaandika''BACK TO SCHOOL [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]