Mm naona kuna mtu anakua kalengwa haswaaaaaa
Maana status kama hiyo, mtu anaweka special kwa ajili ya mtu Fulani...kama ikiwa inakuhusu ndo utajua.... Lakn kusema hivyo haimaanishi na mm imenitokea ni research tu nimefanya kwa wa2

Kuna kajamaa itakuw kalimpiga kibuti sasa ndio kanafikishiwa ujumbe. Ukute huyo mdada keshanunua ka Paso basi ndio anajiona kama keshamaliza kila kitu...
Duh! Hiyo kama ww co mhusika haiwez ikakugusa....kama ww unahc inaweza kukuhusu lakn unaona kama haiji(non sense) yawekana kaiweka kwa ajili ya best yake mwingne na haimhusu yy