Hizi soda za bila sukari mbona zina sukari sasa?

Emmanuel180

JF-Expert Member
Dec 17, 2019
342
626
Eti jamani, haya masoda ya bila sukari mwenzenu nilifikiri hayana kabisa sukari

Ajabu ukinywa hayana tofauti na yale ya kawaida au hii sukari wao wanaona ni ndogo mbaya zaidi watu wenye matatizo ya afya nao utasikia naomba hio bila sukari lakini leo nimekunywa moja naona haina tofaut na za kawaida au ni fix tu.
 
Eti jamani, haya masoda ya bila sukarie mwenzenu nilifikiri hayana kabsa sukari ajabu ukinywa hayana tofauti na yale ya kawaida au hii sukari wao wanaona ni ndogo mbaya zaidi watu wenye matatizo ya afya nao utasikia naomba hio bila sukar lakn leo nimekunywa moja naona haina tofaut na za kawaida au ni fix tu.
Hao ni Pepsi ....

Hakuna sukari ila kuna cocaine flani hivi amazing
 
Eti jamani, haya masoda ya bila sukarie mwenzenu nilifikiri hayana kabsa sukari ajabu ukinywa hayana tofauti na yale ya kawaida au hii sukari wao wanaona ni ndogo mbaya zaidi watu wenye matatizo ya afya nao utasikia naomba hio bila sukar lakn leo nimekunywa moja naona haina tofaut na za kawaida au ni fix tu.
Hizi soda ni kweli hazina sukari, kilichowekwa pale ni ladha ya sukari wao huita (sweetener)
 
Eti jamani, haya masoda ya bila sukarie mwenzenu nilifikiri hayana kabsa sukari ajabu ukinywa hayana tofauti na yale ya kawaida au hii sukari wao wanaona ni ndogo mbaya zaidi watu wenye matatizo ya afya nao utasikia naomba hio bila sukar lakn leo nimekunywa moja naona haina tofaut na za kawaida au ni fix tu.
Kunywa maji, achana na soda ikibidi
 
Haziwekwi sukari ya miwa, inawekwa unga wa stevia ambao una ladha tamu mara 200 ya sukari ya kawaida. Majani ya Stevia yanatumika kuongeza ladha kwenye vinywaji kama chai, uji, kahawa, juisi nk.

Vinywaji vingi wanatumia Stevia, hata Coca-Cola wanatumia.

Unaweza kupanda mche wa Stevia nyumbani kwako na usinunue tena sukari,ukawa unajichumia majani na kuweka kwenye chai, juisi, uji nk.

Uzuri wa Stevia haina calories kama sukari ya miwa na unafaa zaidi kwa watu wenye kisukari kwa sababu ni tiba pia ni aina ya herbs.

Kenya wanalima sana Stevia na wanauza nchi za Asia.

Unaweza ku Google ili ujue zaidi kuhusu Stevia.

Mimi pia ninalima Stevia unaweza kutembelea page ya Instagram ya JS Farms.

Uzuri wa Stevia inastawi kirahisi sana na haitaki maji mengi.

Shamba langu lipo Kibaha, Pwani, atakayetaka mbegu, miche na kujifunza aje 0756625286.

Picha ya 1-3 za mtandao,picha ya 4-5 za shamba langu,picha ya 6 Ni unga wa Stevia uliotengenezwa na kampuni ya Pure Avia ya Uingereza. Picha 2 za mwisho za mtandao, majani ya stevia yakiwa katika hatua za mwisho.
Screenshot_20220716-173059_1.jpg
Screenshot_20220716-173023_1.jpg
Screenshot_20220716-173023_1.jpg
Screenshot_20220716-172948_1.jpg
Screenshot_20220716-172948_1.jpg
Screenshot_20220716-173133_1.jpg
Screenshot_20220716-172832_1.jpg
 
Haziwekwi sukari ya miwa, inawekwa unga wa stevia ambao una ladha tamu mara 200 ya sukari ya kawaida.Majani ya Stevia yanatumika kuongeza ladha kwenye vinywaji kama chai,uji,kahawa,juisi nk.
Vinywaji vingi wanatumia Stevia,hata Coca-Cola wanatumia.
Unaweza kupanda mche wa Stevia nyumbani kwako na usinunue tena sukari,ukawa unajichumia majani na kuweka kwenye chai,juisi ,uji nk.
Uzuri wa Stevia haina calories kama sukari ya miwa na unafaa zaidi kwa watu wenye kisukari kwa sababu ni tiba pia ni aina ya herbs.
Kenya wanalima sana Stevia na wanauza nchi za Asia.

Unaweza ku Google ili ujue zaidi kuhusu Stevia.

Mimi pia ninalima Stevia unaweza kutembelea page ya Instagram ya JS Farms.
Upo mkoa gani
 
Back
Top Bottom