Ulitaka kupigana vita isiyo yako lakini inayohusika nawe kwa namna moja au nyingineMimi niliwahi kuota hivi,kuna jirani yetu alikuwa na kijana wake sasa yule kijana ile siku ikatokea akawa anampiga sana mtumishi wao wa ndani na yule mtumishi akawa anapiga kelele sana,ikanibidi nitoke kwenda kumsaidia ila nkiwa njian nkapita sehemu palikuwa na wadudu wengi sana na miongoni mwao walikuwa ni nyoka na hapo ndipo nyoka mmoja akaniuma mguuni na katika ndoto ile wala mimi sikujali nikaendelea na safari yangu ila nkiwa na kumbukumbu kwamba nyoka kaniuma!!
Mpaka nilipostuka nilikuwa bado naikumbuka ndoto hiyo japo ckuwa na maumivu yoyote,je inawezakuwa ilimaanisha nini!?@Mshana jr
Ndoto zinazoambatana na matukio ya kweli kama hizo ni ndoto maono au taarifa, vita inayopiganwa kwenye ulimwengu wa roho mpaka kujitokeza liveMimi huwa naota ndoto za manyoka na huwa hayaniumi ila asubuh nkiamka lazima ntakutana na nyoka na ntamuua Mara chache sn wamekimbia yaan ndoto za manyoka zimekuwa kawaida na kuna siku wanakuwa wengi sn ndani baba yng anawaambia ndugu zngu msiwauwe eti mpk nije mie.yaaan ndoto zimekuwa hvyo km matukio ya kweli.
Ila nateseka sn na hizi ndoto zimekuwa muoga sn kulala. Na hata kutembea sehemu nazohisi kunaweza kuwa na nyoka maana lazima ntakutana nae km usiku nilimuota tena rangi hadi ukubwa.Ndoto zinazoambatana na matukio ya kweli kama hizo ni ndoto maono au taarifa, vita inayopiganwa kwenye ulimwengu wa roho mpaka kujitokeza live
Yani zile post ziliniacha hoi
Unapolala tumia vitu hivi viwili au vitatu kitunguu saumu jipake kwenye paji na uso na viganjani kipande cha ndimu weka chini ya mto na olive oil jipake pia mikononi na miguuni na utosiniIla nateseka sn na hizi ndoto zimekuwa muoga sn kulala. Na hata kutembea sehemu nazohisi kunaweza kuwa na nyoka maana lazima ntakutana nae km usiku nilimuota tena rangi hadi ukubwa. Kuna sehemu nilienda ugenini ñkamuona choon wenye nyumba wakashangaa sn wakasema toka wamehamia hawajawah kuona nyoka.maajab walipotoka kuchukua fimbo mm nkiwa mlangon hata sikujua ameingia wapo kila MTU akabak na bumbuwaz ila m nilishaona ndotoni tukio zima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha haa hawakawii kukuzushia umerudi baada ya panya road kufufuka.
Hili la ndoto, kuna nyingine unaweza kuota inamaruerue ikakuacha vibaya siku nzima. Kama vile movie la mazombie hadi unajiuliza, hii ndoto kitu gani kimefanya iwezekane?
Asante sana ndugu yangu nitafanya hvyo nimwkuwa nkikutafta sana muda kuweza kukuuliza Ila nashukuru sana ndoto zinatisha sana hasa unapoikumbuka yote asubuhUnapolala tumia vitu hivi viwili au vitatu kitunguu saumu jipake kwenye paji na uso na viganjani kipande cha ndimu weka chini ya mto na olive oil jipake pia mikononi na miguuni na utosini
Angalizo: kichwa kinaweza kukuuma sana na kutoka jasho usiogope
Ok haina shida lakini ningependa kukuuliza baadhi ya maswaliAsante sana ndugu yangu nitafanya hvyo nimwkuwa nkikutafta sana muda kuweza kukuuliza Ila nashukuru sana ndoto zinatisha sana hasa unapoikumbuka yote asubuh
AsanteKabla ya kulala unalamba ndimu hii inasaidia sana hata ile hali ya kujitafuna ndotoni
Hiyo ndimu pia unaweza kuikamua na kuinywa na maji ya moto