KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,868
Nasikitishwa na jinsi hii nchi mambo yalivyokuwa yakienda!!Siyo siri hii nchi ina mianya mingi ya kuiba au watu wanaofanya biashara hawalipi kodi serikali ifanye uchunguzi katika hii shule na kuwafahamu wazazi wawatoto wanaosoma hapa wanafanya kazi gani au biashara gani je kipato chao kinaendana na kazi wanazozifanya??