Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

Hawanabudi kuendana na mahitaji ya soko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raphkovik?
Mrusi ama


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye uelewa na hawa jamaa wanajiita capitalzone4*4 katika instagram anijuze naona wako vizuri wanafufua mnoo landrover.

Sent using Jamii Forums mobile app
capitalzone 4x4 yeye amejikita katika kununua old LR na kuzifufua then anaziuza kwa faida

ila pia kama una LR yako unaweza kumpelekea akaifufua the same tu na wale jamaa wa oldschoool rides tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MACAUTO anauza seats covers (imported) hatengenezi labda kama ameanza kutengeneza siku hizi

wao wanatengeza roof liner na dashboards zilizochoka

ila mac auto wale jamaa wapo vizuri kwenye music systeams na alarms...

nilifungaga mziki na alarm pale ofisini kwao sinza mori ndio lilikuwa duka langu la kununua accesories nyingine za gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Arusha...kama kuna fundi anaweza kutengeza hii seat cover kama inavyoonekana hapa....ajitaje siku moja nimtembelee nikiridhika tufanye kazi...kale kagari nataka kuka-cutomise kuke ndani balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…