Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

Mkuu nampata huyo leader wao Raph, wapo Arusha. Yule jamaa na timu yake wanafufua landrover inakua mpya kabsa. Wana ubunifu wa hali ya juu sana
Mwenye uelewa na hawa jamaa wanajiita capitalzone4*4 katika instagram anijuze naona wako vizuri wanafufua mnoo landrover.

Sent using Jamii Forums mobile app
20190402_150011_rmscr-1.jpeg
20190402_150034_rmscr-1.jpeg
20190402_150100_rmscr-1.jpeg
20190402_150044_rmscr-1.jpeg
 
Okay, basi unabidi upange kukaa nayo muda mrefu. Unajipanga mdogo unaiboresha. Binafsi napenda saana kukaa na gari muda mrefu. Unajenga chemistry na gari. Hata jamaa akifika bei inakuwia vigumu saana kulitoa.

Y60 kwa kweli, ni moja ya my favourite Nissans of all times. Siku hizi sipendi mwonekano wa Patrol. Zimepambwa saana.
Hawanabudi kuendana na mahitaji ya soko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za kizamani hzo 109 na nduguze, mfano wakiikuta labda imechoka ipo imepaki, nazungumzia kule kuchoka kweli kiasi watoto wanaweza kuchezea kombolela, mzee akawaambia nyie mtakajikata na mabati hayo sindano zenyewe za tetenasi tabu, hahaaa..

Wao wanaichukua sijui huwa wanawalipa kidogo, kisha wanaenda ifufua upya kuna jamaa anaitwa raphkovic km sijakosea sijui ndio bosi wao nao km 3 hv anazitembelwa kwenye Instagram page yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Raphkovik?
Mrusi ama


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye uelewa na hawa jamaa wanajiita capitalzone4*4 katika instagram anijuze naona wako vizuri wanafufua mnoo landrover.

Sent using Jamii Forums mobile app
capitalzone 4x4 yeye amejikita katika kununua old LR na kuzifufua then anaziuza kwa faida

ila pia kama una LR yako unaweza kumpelekea akaifufua the same tu na wale jamaa wa oldschoool rides tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MACAUTO anauza seats covers (imported) hatengenezi labda kama ameanza kutengeneza siku hizi

wao wanatengeza roof liner na dashboards zilizochoka

ila mac auto wale jamaa wapo vizuri kwenye music systeams na alarms...

nilifungaga mziki na alarm pale ofisini kwao sinza mori ndio lilikuwa duka langu la kununua accesories nyingine za gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Arusha...kama kuna fundi anaweza kutengeza hii seat cover kama inavyoonekana hapa....ajitaje siku moja nimtembelee nikiridhika tufanye kazi...kale kagari nataka kuka-cutomise kuke ndani balaa
Honda-City-Seat-Cover-Beige-Design-3.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom