RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,382
- 1,851
Yes, wako serious kwa kweli. Ni kazi nzuri.Jamaa wapo poa sana..naona kaz zao instagram
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Sidhani kama wana website, mara nyingi nawaona wakijitangaza kwenye Instagram pekee.Duu ajab
Aisee wanatengeneza haswa
Ningependa kuona website zao pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu ajab
Aisee wanatengeneza haswa
Ningependa kuona website zao pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuuSafari Automative Upholstery
Transform your fleet of corporate cars with custom-made leather car seat covers that outshine and outperform universal fit covers. For hand stitched protection from wear and tear in luxurious comfort and practicallywww.safariupholstery.com
Daa! Jamaa wanajielewa aise. Hata web yao imekaa vizuri.Safari Automative Upholstery
Transform your fleet of corporate cars with custom-made leather car seat covers that outshine and outperform universal fit covers. For hand stitched protection from wear and tear in luxurious comfort and practicallywww.safariupholstery.com
Nitawafuatilia niwajue. Land Rover 109 au hizi za kisasa?Mwenye uelewa na hawa jamaa wanajiita capitalzone4*4 katika instagram anijuze naona wako vizuri wanafufua mnoo landrover.
Sent using Jamii Forums mobile app
Za kizamani hzo 109 na nduguze, mfano wakiikuta labda imechoka ipo imepaki, nazungumzia kule kuchoka kweli kiasi watoto wanaweza kuchezea kombolela, mzee akawaambia nyie mtakajikata na mabati hayo sindano zenyewe za tetenasi tabu, hahaaa..Nitawafuatilia niwajue. Land Rover 109 au hizi za kisasa?
Duu! Hiyo safi saana. Maana zile gari bati lake lilikuwa gumu kweli. Sijui ilikuwa material gani. Tena ukienda vituo vya polisi yamejaa tele.Za kizamani hzo 109 na nduguze, mfano wakiikuta labda imechoka ipo imepaki, nazungumzia kule kuchoka kweli kiasi watoto wanaweza kuchezea kombolela, mzee akawaambia nyie mtakajikata na mabati hayo sindano zenyewe za tetenasi tabu, hahaaa..
Wao wanaichukua sijui huwa wanawalipa kidogo, kisha wanaenda ifufua upya kuna jamaa anaitwa raphkovic km sijakosea sijui ndio bosi wao nao km 3 hv anazitembelwa kwenye Instagram page yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina vyangu tu sasa hiv nataman nifanye nao kazi hawa jamaa.Duu! Hiyo safi saana. Maana zile gari bati lake lilikuwa gumu kweli. Sijui ilikuwa material gani. Tena ukienda vituo vya polisi yamejaa tele.
Daa! Unalo li 109? Hizo gari zinapanda bei saana kwenye used market. Watu wanaopenda classic car adventures wanazinunua.
Hapana niko na Nissan patrol y61.. Nayo nataka niifanyie manjonjo iwe tofautiDaa! Unalo li 109? Hizo gari zinapanda bei saana kwenye used market. Watu wanaopenda classic car adventures wanazinunua.
Okay. Ya mwaka gani? Maana Y61 kwa kibongo bongo sio ya zamani kivile, bado inasumbua vizuri tu mjini.Hapana niko na Nissan patrol y61.. Nayo nataka niifanyie manjonjo iwe tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni ya mwaka 2000, napenda tuwe iwe ya kisasa zaidi, nilipotizama wanavyofufua gari zilizochokabnami natamani iwe katika standard fulani hiv ya kipekee pekee kuna y60 moja niliona wameifanyia kazi imekuwa super sana.Okay. Ya mwaka gani? Maana Y61 kwa kibongo bongo sio ya zamani kivile, bado inasumbua vizuri tu mjini.
Okay, basi unabidi upange kukaa nayo muda mrefu. Unajipanga mdogo unaiboresha. Binafsi napenda saana kukaa na gari muda mrefu. Unajenga chemistry na gari. Hata jamaa akifika bei inakuwia vigumu saana kulitoa.Hii ni ya mwaka 2000, napenda tuwe iwe ya kisasa zaidi, nilipotizama wanavyofufua gari zilizochokabnami natamani iwe katika standard fulani hiv ya kipekee pekee kuna y60 moja niliona wameifanyia kazi imekuwa super sana.
Sent using Jamii Forums mobile app