Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

RugambwaYT

JF-Expert Member
Jan 11, 2014
1,371
1,836

Hawa jamaa ni wabunifu saana, sijui wamejifunza wapi hii kazi, maana kazi zao kwa kweli ni level nyingine.

Sio kazi tulizozoea kuziona kwa mafundi wetu wa mtaani.

Wanatengeneza seat covers, roofs, carpets, dashboard, steering cover etc kwa quality ya juu kiasi kwamba inaonekana vizuri kuliko hata interior ya baadhi ya luxury brands.

Safi saana. Soon tutaweza ku-pimp magari yetu ya kizamani tunayoyapenda na kuyapa muonekano wa kisasa.

Big up sana.
 
Nitawafuatilia niwajue. Land Rover 109 au hizi za kisasa?
Za kizamani hzo 109 na nduguze, mfano wakiikuta labda imechoka ipo imepaki, nazungumzia kule kuchoka kweli kiasi watoto wanaweza kuchezea kombolela, mzee akawaambia nyie mtakajikata na mabati hayo sindano zenyewe za tetenasi tabu, hahaaa..

Wao wanaichukua sijui huwa wanawalipa kidogo, kisha wanaenda ifufua upya kuna jamaa anaitwa raphkovic km sijakosea sijui ndio bosi wao nao km 3 hv anazitembelwa kwenye Instagram page yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu! Hiyo safi saana. Maana zile gari bati lake lilikuwa gumu kweli. Sijui ilikuwa material gani. Tena ukienda vituo vya polisi yamejaa tele.
 
Okay. Ya mwaka gani? Maana Y61 kwa kibongo bongo sio ya zamani kivile, bado inasumbua vizuri tu mjini.
Hii ni ya mwaka 2000, napenda tuwe iwe ya kisasa zaidi, nilipotizama wanavyofufua gari zilizochokabnami natamani iwe katika standard fulani hiv ya kipekee pekee kuna y60 moja niliona wameifanyia kazi imekuwa super sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni ya mwaka 2000, napenda tuwe iwe ya kisasa zaidi, nilipotizama wanavyofufua gari zilizochokabnami natamani iwe katika standard fulani hiv ya kipekee pekee kuna y60 moja niliona wameifanyia kazi imekuwa super sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay, basi unabidi upange kukaa nayo muda mrefu. Unajipanga mdogo unaiboresha. Binafsi napenda saana kukaa na gari muda mrefu. Unajenga chemistry na gari. Hata jamaa akifika bei inakuwia vigumu saana kulitoa.

Y60 kwa kweli, ni moja ya my favourite Nissans of all times. Siku hizi sipendi mwonekano wa Patrol. Zimepambwa saana.
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom