RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,381
- 1,850
Hawa jamaa ni wabunifu saana, sijui wamejifunza wapi hii kazi, maana kazi zao kwa kweli ni level nyingine.
Sio kazi tulizozoea kuziona kwa mafundi wetu wa mtaani.
Wanatengeneza seat covers, roofs, carpets, dashboard, steering cover etc kwa quality ya juu kiasi kwamba inaonekana vizuri kuliko hata interior ya baadhi ya luxury brands.
Safi saana. Soon tutaweza ku-pimp magari yetu ya kizamani tunayoyapenda na kuyapa muonekano wa kisasa.
Big up sana.