Unakuta unaenda saluni kunyoa lakini kinyozi anataka kutengeneza pesa mara anakuuliza vipi unataka scrub, unaonaje tukikupaka dawa ya mba, mara akuulize kama unataka kupaka piko,ningetaka yote hao ningesema kabla.
Ni lugha tuu ya kibiashara.ye yuko kazini.asiposema utajuaje?wengine huwa wanahamasishwa kwa maneno.
Kua mpole tuu useme leo mambo sio Shwari,siku nyingine.unaeleweka wala husumbuliwi tena.
hahah kidume utaanzaje kusema huna hela.... pale ni mapema tu tangu unaingia unavunga unaharaka, full kuangalia saa na kujijibu txt!!! akimaliza kukunyoa tu unawaambia kuna jamaa ananiwait hapo ntamuweka sana