Hizi picha zitakuonyesha jinsi gani madawa ya kulevya ni mabaya...

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
12,121
20,001
Amy Winehouse kabla madawa hayajamuharibu, na siku za baadae kabla ya kifo chake

amy-winehouse-before-and-after.jpg
 
Duh..aliisha alooo!kweli unga sio wakuuchezea.halafu alikufa mdogo 28yrs nadhani
 
Mtu ukisha anza kutumia madawa ya kulevya unakuwa kama jini na inakuwa faida kubwa sana kwa muuzaji hela yote unayopata inaishia kwenye madawa ya kulevya.
 
Hata Hapa Bongo Hali Ni Hiyo Hali Ipo Saana Mkuu! ALAFU Mkuu Wa NCHI Amepewa MAJINA Vigogo Wa Issue Za DAWA ZA KULEVYA, Eti Anaweka Ktk Droo Tu Na Kuondoka!! HATARI SAANA!!!
 
ALAFU Wakuu Lugha Ya Kiswahili Hatuna Neno MADAWA, Bali Tuna Neno DAWA!! Iwe Za KULEVYA Au KUTIBU!!!!
 
Pia hakuna neno ALAFU
NIMEZALIWA Pwani, Nimekulia Pwani, Na Ninaishi Pwani!! Hivyo Kiswahili Ni Asili Yangu!! Kuweka Herufi Kubwa Ni Kuweka Msisitizo Tu!!! Kama Neno "ALAFU " Si Sahihi Na Sahihi Ni "HALAFU " Labda Kiswahili Chenye Rafudhi Za Lugha Mama Ya Asili Yako!!! Kama Ilivyo Kwa Neno "DAWA " Na Si "MADAWA " Si Ndio Nyinyi Wale Mnaotutaka Kukubali Mnaposema Neno "NYIMBO HII " Badala Ya Kusema "WIMBO HUU "!!!
 
Rafudhi ni nini?
 
Back
Top Bottom