Hizi Picha Zinatisha, Usiombe Kuziona.

Hizi Picha Zinatisha, Usiombe Kuziona.

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,549
Wakuu, kutokana na maadili ya JF nimeshindwa kuziweka hizi picha za kuogofya ambazo Zipo ktk mfumo wa Video, picha hizo niliziona You Tube, ila Nawaomba Wanajamvi nizielezee zilivyo, na atakayetaka kuziona aingie hapa,www.unyama/you tube. com
-Picha ya Kwanza.
Inaonyesha mtu akiwa kalazwa chini, porini, kafungwa pingu mikono yote Kwa nyuma, ni usiku, mtu huyo anang'olewa meno Kwa koleo ,analia Kwa uchungu na damu zimetapakaa usoni mwake, meno yote yanang'olewa kikatili Sana.
Hayatolewi nje ya mdomo, yanaachwa yadondokee kinywani mwake, watesi wake wanaongea lugha Kama Nigeria au Ghana.

-Picha ya pili.
Ni tukio la kutisha Sana, kuna ngome kubwa ipo katikati ya msitu, kuna watu wamevaa mavazi mekundu, maiti nyingi zinabebwa na kuletwa hapo, za watu wazima na watoto wadogo, kuna kundi la tai wengi Sana, wale watu wenye mavazi mekundu mmoja wao anazikatakata zile maiti Kama nyama ya buchani Kwa kisu kikali na kisha kuwarushia tai.
Mmoja wao anapiga ngoma na kisha tai wanakuja Kwa wingi na kuzishambulia zile maiti.
Wakuu, ni tukio la kutisha Sana, na sijui ni taifa gani hilo.

-Picha ya tatu.
Kuna mwanamke amelazwa chini barabarani, anatandikwa bakora zisizo na idadi, analia akiomba msamaha Kwa lugha ya kisukuma kuwa asamehewe alikosea, hakuna anayemwonea huruma, apigwa kikatili Sana, wanaompiga ni wanawake Kwa wanaume, anapigwa hasa, ni Kama vile nyoka anavyopigwa ili auawe.
Utadhani wanaompiga si binadamu wenzake, wakuu, Nimeona nishee nanyi hizi habari, najua baadhi yenu mmeshaziona.
Kwa tabia hizi tulizonazo binadamu, Kwa nini Mungu asitupe adhabu ya moto wa milele?
Naamini Jehanamu ipo.
 
Dah.. nyie hamjaziona picha za kutisha..
1476478012238.jpg
 
Bora usingeandika. Kwa kusoma tu nimeishiwa nguvu. Mungu wa rehema anayetuvumilia kwa haya hakika ana upendo mkuu. N nani angeweza kuacha haya yatokee? Nimekuwa nikijiuliza sana kama ningekuwa kwenye nafasi ya Uungu, je ningeweza kuacha ukatili wa aina hizo ufanyike? La hasha, ningewapiga upofu katkat ya tukio. Lakin Mungu mwenye huruma anaangalia tu, labda na hao binadamu wakatili watatubu. Daaah!! Hakika wewe ni MUNGU.
 
sithubutu hata kuifungua maandishi tu yanatoshelea binadamu wnegine wabaya na katili sana
 
you are so wise kwakutoa tahadhari sithubutu kuifungua itaniharibia wiki yangu yote hii kama sio mwexi kabisa
 
Kule katika nchi ya Myanmar ni utaratibu wao wa kawaida kulisha miili ya wafu kwa tai, hakuna jipya
 
Bora usingeandika. Kwa kusoma tu nimeishiwa nguvu. Mungu wa rehema anayetuvumilia kwa haya hakika ana upendo mkuu. N nani angeweza kuacha haya yatokee? Nimekuwa nikijiuliza sana kama ningekuwa kwenye nafasi ya Uungu, je ningeweza kuacha ukatili wa aina hizo ufanyike? La hasha, ningewapiga upofu katkat ya tukio. Lakin Mungu mwenye huruma anaangalia tu, labda na hao binadamu wakatili watatubu. Daaah!! Hakika wewe ni MUNGU.
Huyo Mungu wa huruma na upendo anamhurumia na kumpenda yupi kati ya mtesaji na anayeteswa?
 
Vipi kuhusu zile za wale jamaa Wa IS Wanaofungia watu Kwenye cage na kuwamwagia petrol na kuwachoma moto.. au wanafungia Kwenye cage halafu wanawaingiza Kwenye swimming pool lenye sumu..yaan wanawaua watu kikatili sana.
 
Back
Top Bottom