Hizi picha zina ukweli??

Hizi ARV zimesababisha huu ugonjwa tuuone kama malaria na kujisahau. Bora wangejitangaza tu wote tuwajue.
 
Na sisi tujitangaze, sio wao tu
Hizi ARV zimesababisha huu ugonjwa tuuone kama malaria na kujisahau. Bora wangejitangaza tu wote tuwajue.

You are strong than what you think...
 
Na sisi tujitangaze, sio wao tu
Hizi ARV zimesababisha huu ugonjwa tuuone kama malaria na kujisahau. Bora wangejitangaza tu wote tuwajue.

You are strong than what you think...
 
Watu tunachangia picha kwa mihemuko bila tafakari yoyote ile.Kunenepa na kupungua ni hali ya kawaida tu katika maisha hata bila msaada wa arv.
Huyo dada labda angeweka na vipimo vyake hapo ningechangia kwa usahihi ila tofauti na hapo huku ni kupiga ramli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh Haya
You are strong than what you think...
 
Mungu aniepushe nisipate huu ugonjwa wala ugonjwa unao fanana na huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…