Hizi picha zina ukweli??

Yawezekana zina ukweli ndani yake. Mimi naamini aliyeziweka anakibali cha kuziweka na anaweza kututhibitishia hilo.
Nilicho kipenda hapa ni kwamba:
1: Huwezi kumtambua mtu mwenye tatizo kwa kumtazama tu, ni vizuri kupima.
2. Ukiwa umepata tatizo, ni vizuri kuzingatia masharti ya wataalamu ikiwa ni pamoja na kutumia dawa husika.
3: Si vizuri kujivicha ukiwa umepata hili tatizo, jitokeze na utafute matibabu/dawa
4.Husikatetamaa ya kuishi kwani kuna uwezekano wa kuendeleakuishi ukufuata maelekezo
5.Watu wawe makini na wachukue tahadhari kwani huu ugonjwa hupo
 
Kama niivo basi haina haja ya kuzitumia niongeze mwili itanibidi nile sana kuku kwa wingi sasa mpwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka, mbona Umeongea kwa kuumia Sana? What's wrong? Kikubwa ni kumshukuru Mungu kila ukiamka hujapungua kilo

You are strong than what you think...
Mpwa yani haya mambo yaone hivi, sisi tulioamua kuwa na familia ni ngumu mno. Nasemea uhalisia tu, sio kwamba kuna kitu personal.
 
Ndo hvyo yan. Ukishaona mapaja na mashavu ya K, ukimcheki usoni macho kalegeza, anatoa mlio wa ajabu ajabu, analia baby ingiza baby ingiza...!!! Daaah, ukipata nguvu ya kuvaa kivazi kweli ww kidume

Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpwa yani haya mambo yaone hivi, sisi tulioamua kuwa na familia ni ngumu mno. Nasemea uhalisia tu, sio kwamba kuna kitu personal.
Nimekuelewa saaaana ndugu yangu! Inatisha saaana! Mwaka Ukiisha bado Umzima unamshukuru Mungu tu! Tunafanya Makosa mengi Sana Sana!

You are strong than what you think...
 
Kwa kweli atunusuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa hiyo picha ya kwanza iko Instagram jamaa ka post maombi kwa huyu boda boda, yaani kamtamani mpaka anataka ku gongwa na gari..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…