Hizi picha huwa nazaipenda sana

Hizi picha huwa nazaipenda sana

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
3,792
Reaction score
2,370
Hizi Picha huwa nazipenda sana-Watu wanonyesha kupokea mabadailiko hata wakipigwa mabomu na risasi.

WanaBidii google forums

picha via WanaBidii google forums-mama huyu akikimbia mabomu na risasi za polisi morogoro mwaka 2012 polisi waliposhambulia maandamano ya AMANI ya CHADEMA
​

Mkuu wa Operesheni Sangara-Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) BENSON KIGAIYA akiwa chini ya ulinzi wa Polisi wa FFU watano huku wengine wakinyatia kwa pembeni)
na hapa chini Mkuu wa Operesheni Sangara-Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) BENSON KIGAILA-akiwa katika gari la Polisi akionyesha nguvu ya haki dhidi ya dhuluma haishindwi.

Ni lazima wana MAGAMBA wapitie tanuru hili pia! T 2015 CDM ni lazima kwa namna yoyote ile.
 
mapinduzi haji kiulaini, Madiba alinyea ndoo miaka 27! Leo ni mtukufu sana kule bondeni
 
nguvu ya umma itashinda , nguvu ya umma haitaiacha ccm salama !
 
Huu nauita uchochezi na ushari. Na siamini kama hata wahanga wa hayo matukio wanaweza kuzipenda hizo picha. Fanyeni siasa zenu lakini acheni kutuharibia nchi. Shame on you all shuch kind of politician. I mean all of you regardless of your political parties.
 
kaka MAPUMA MIYOGA mwenye akili ya samaki hyu mwingine!
 
mapinduzi haji kiulaini, Madiba alinyea ndoo miaka 27! Leo ni mtukufu sana kule bondeni
ni kweli ni africa ambapo mtu anaweza akaanza kuishi jele kisha baadae akaja kuishi ikulu ni hukuhuku pia ambako mtu anaweza kuanzia kuishi ikulu kisha akaenda kuishi jela
 
Back
Top Bottom