Hizi ni sare za jeshi la wapi?

Daaah. Namuona Kanali Benard Mulunga kwa nyuma pale. He was a good ADC so far
 
Hawa ni navy/sailors na hufanya hivyo sababu kama wanamaji mikono yao inaweza kuwa na magrisi kama fundi magari so they opt to salute their palm facing down.
Wewe unajua, wengi hawaelewi kuwa kuna salute za aina nyingi
Upigaji wa salute wa Navy (Askari wa majini) uko tofauti na kada nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…