JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 9,071 Reaction score 9,674 Mar 25, 2011 #1 kuna ubunifu wa kuifunga injini baiskeli, natumaini wadau mmeshaziona baiskeli za aina hiyo. sasa baiskeli ya aina hiyo inaangukia kwenye kundi lipi kati ya magari/pikipiki ambayo husajiliwa au baiskeli/maguta ambayo hayahitaji kusajiliwa?
kuna ubunifu wa kuifunga injini baiskeli, natumaini wadau mmeshaziona baiskeli za aina hiyo. sasa baiskeli ya aina hiyo inaangukia kwenye kundi lipi kati ya magari/pikipiki ambayo husajiliwa au baiskeli/maguta ambayo hayahitaji kusajiliwa?