mahirtwahir JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 614 Reaction score 322 Feb 3, 2013 #1 Habari wana jf leo naomba tujadili suala la wanandoa kutoka nje ya ndoa zao hili limekua ni kawaida kwa jamii yetu. Jeee ni kipi kinasaba?
Habari wana jf leo naomba tujadili suala la wanandoa kutoka nje ya ndoa zao hili limekua ni kawaida kwa jamii yetu. Jeee ni kipi kinasaba?
Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Feb 3, 2013 #2 mahirtwahir said: Habari wana jf leo naomba tujadili suala la wanandoa kutoka nje ya ndoa zao hili limekua ni kawaida kwa jamii yetu. Jeee ni kipi kinasaba? Click to expand... Peleka sampuli NDOA kwa mkemia mkuu, huyo anayetoka nje ya ndoa atakupa majibu ya aina ya KINASABA!:iamwithstupid::ranger:
mahirtwahir said: Habari wana jf leo naomba tujadili suala la wanandoa kutoka nje ya ndoa zao hili limekua ni kawaida kwa jamii yetu. Jeee ni kipi kinasaba? Click to expand... Peleka sampuli NDOA kwa mkemia mkuu, huyo anayetoka nje ya ndoa atakupa majibu ya aina ya KINASABA!:iamwithstupid::ranger:
mahirtwahir JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 614 Reaction score 322 Feb 3, 2013 Thread starter #3 Ni vyema ila kwa watu wa mwambai neno kinasaba linafaka sn ww linaweza kua geni ila pitia kamusi ya kiswahili utaliona.
Ni vyema ila kwa watu wa mwambai neno kinasaba linafaka sn ww linaweza kua geni ila pitia kamusi ya kiswahili utaliona.