Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,005
- 156,331
Mwenzetu hajaja ofisini, tangu asubuhi tumejaribu kumpigia simu lakini simu yake ikawa haipatikani.
Jioni hii nimemetembelea nyumbani kwake na nimebahatika kukutana naye. Anasema lkashindwa kuja kazini kwa kuwa mkewe kamchomea nguo zote, kitambulisho cha ofisi, kadi ya kupigia kura na kadi za benki.
Kisa? KAMFUMA na msg kwenye simu inasema, dear nimeshindwa kukuletea flash yako, nime imisplace, naomba univumilie.