Hizi ni hasira gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi ni hasira gani?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Jun 22, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Mwenzetu hajaja ofisini, tangu asubuhi tumejaribu kumpigia simu lakini simu yake ikawa haipatikani.
  Jioni hii nimemetembelea nyumbani kwake na nimebahatika kukutana naye. Anasema lkashindwa kuja kazini kwa kuwa mkewe kamchomea nguo zote, kitambulisho cha ofisi, kadi ya kupigia kura na kadi za benki.
  Kisa? KAMFUMA na msg kwenye simu inasema, dear nimeshindwa kukuletea flash yako, nime imisplace, naomba univumilie.
   
 2. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo mwanamke hajiamini, au labda ni mama wa home. Mbona hizo ni lugha za kawaida sana kwenye ofisi.
   
 3. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hahahahahaa!!!
  BujiBuji akili zako zimechanganyika na valuer ngapi saa ahizi?
   
 4. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mianamke ya kiswazi ndivyo ilivyo, kwao neno dear, darling na mengineneyo yanamaanisha tumetoka gesti kudinyana.
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  ndio raha ya kuoa ngumbaru..
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  acha hizo,hayo makorokocho magumu kumeza kwangu hayapiti kabisa, koo lenyewe laini hili.
   
 7. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  kuna wanawake wengine kweli hamnazo
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  heeee! Makubwa.
  Kilichomfanya achome vitu vya mumewe ni hilo neno 'dear' au?

  Hajaenda shule huyo. Mpe pole rafiki.
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Duhhhhhhh
  Huyo mwanamke analake jambo..
   
 10. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  umeona ehhh, si bure huyo dada
   
 11. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hasira hasara!
  jamaa itabidi asitoe matumizi mwezi mzima ili afanye shopping.
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  labda alifkri flash ni sehemu nyeti.
   
 13. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  wanawake wengine wanakula ganja,mirungi kuchanganya na original,ugolo,komoni na cuber kwa pamoja.kwa ufupi hizo ni akili za mbayuwayu.
   
 14. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  hus unamanisha sehemu nyeti kubwa au sehemu nyeti ndogo?
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  zote zote
   
 16. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  sasa majirani si watakuwa wakijipatia unyumba wa bwerere
   
 17. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kama atafanya hivyo ndo muda muafaka kwa jamaa naye kuchoma nguo zake zote mpaka kufuli
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  Na anytime atamlisha sumu ya panya, huyo mama hafai kabisa, hopeless.
   
 19. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  inawezekana mwanaume tabia zake mkewe hazielewi na akiulizwa ufafanuzi hatoi sa afanywaje? na inawezekana si mara ya kwanza amekuta mesage asizoelewa, bujibuji kama huyo mwanaume ana hakika hana makosa amemfukuza huyo dada baada ya kuchomewa nguo au amemfanyia lolote? wewe umeongea na mkewe kujua kosa?
   
 20. S

  Sweetlove Member

  #20
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani hebu tujifunzen kucontrol temper.i like living by 3 codes, to love my man so much,to be confident and to pray n trust God.kuchomeana nguo na umaskini huu jamani thts very unfair.i wish nimjue hyo dada nimpe councelling make hajiamini kabisaaa.hatuendi hvo.
   
Loading...