Hizi ni documents 6 unazohitaji wakati wa kuandaa Financial statement.

Hizi ni documents 6 unazohitaji wakati wa kuandaa Financial statement.

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
126
Reaction score
186
Kama wewe ni mfanyabiashara au Mmiliki wa Kampuni utakua unajua ni jinsi gani ni muhimu kuandaa Financial statement ya biashara yako kila mwaka.

Ili uandaaji wa document hii uwe mrahisi, utahitaji kua na hizi documents 6;

1. EFD sales
Hii utatumia ku track rekodi ya mauzo yote uliyofanya kwa mwaka mzima.
Kama hautumii EFD basi mauzo uliyo rekodi kwenye daftari yatafaa.

2. Local purchases
Hapa ni kama unanunua bidhaa zako kwa jumla tuseme karume au Kariakoo.
Utahitaji rekodi ya manunuzi yako yote.

3. Importation files
Hii sasa ni kwa wale ambao wanafanya importation ya bidhaa zao, watu kama Laven Affiliate, Niffer, Blessed Elina, Ramsek, Mnunuzi online na Tech Winga.
Hakikisha unatunza rekodi ya manunuzi yako ya nje yote.

4. Bank statement
Hii itakusaidia kujua fedha zote zilizoingia na kutoka.

5. List ya creditors na debtors
Ni lazima uwe na list ya watu walikukopesha mzigo na list ya watu unaowadai.

6. Expense documents
Hii document itakuenosha list ya operational costs zingine
-Delivery cost
-Bills za maji na umeme
-Internet
-kodi etc.

Ukiwa na hizi documents 6 itakua ni rahisi sana kwako kuandaa Financial statement.

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni.

Nina E-book nimekuandalia inaongelea Kodi unazotakiwa kulipa kama Mfanyabiashara Tanzania.

Ni ebook ya BURE, unaweza kuipata kwa kunitumia neno "TAXES" via WhatsApp kupitia namba hizi 0678131068

Your favorite lawyer.
 
Back
Top Bottom