Hizi ni dawa hatari kwa figo zako

Hizi ni dawa hatari kwa figo zako

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,742
Hizi ni dawa hatari kwa figo zako.jpg

Madawa ambayo yanaweza kusababishia uharibifu wa figo
Kuna orodha ndefu ya madawa yanayotumiwa na binadamu ambayo yanaweza kuharibu figo, hizi ni aina tofauti za dawa ambazo zinaweza kuharibu figo, nimezihorodhisha makundi kumi tofauti ya dawa ambazo ni hatari kwa figo zako.

Katika dawa hizo zipo;

1. Antibiotics
Hapa katika kundi la antibiotic kuna dawa hizi; Vancomycin, sulfonamides, ciprofloxacin na methicillin.

2. Dawa za kutuliza maumivu
Katika kundi la dawa za kutuliza maumivu, ukitumia, Acetominophen, aspirin, ibuprofen au naproxen, unaweza kuhathiri figo zako.

3.Dawa za kutuliza maumivu ya moyo( Heartburn medications)
Hapa kuna Omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), raberprazol (Rabecid), esomeprazole (Nexium) na lansoprazole (Prevacid).

4.Dawa za kuzuia virusi(Antiviral)
Katika kundi hili kuna Aciclovyr, tenofovir na indinavir.

5.Shinikizo la juu la damu(High blood pressure medications )
Captopril (Capoten).

6.COX-2 inhibitors
Celecoxib (chapa Celebrex), valdecoxib (chapa Bextra), rofecoxib (chapa Vioxx).
Dawa hizi za kipekee kutoka NSAIDs ziliaminika kuwa salama kwa ajili ya tumbo, lakini utumiapo zina uwezo mkubwa wa kuharibu figo zako.

7.Dawa za baridi yabisi(Rheumatoid arthritis drugs )
Chloroquine na hydroxychloroquine, infliximab (Remicade).

8. Bipolar disorder medications
Lithium.

9.Anticonvulsants
Phenytoin (Dilantin), trimethadione (Tridione).

10.Chemotherapy drugs
Mitomcycin,cyclosporine,tacrolimus,interferons,pamidronate,cisplatin,bevacizumab,quinine pamoja na propylthioracil

Kwa ushauri binafsi, unaweza pewa dawa hizi popote iwe hospitali au hata kwenye maduka ya madawa, pindi utumiapo moja ya dawa hizi tumia maji mengi ili kutoa ile sumu nyingi iliyopo kwenye hizi dawa, na usitumie dawa hizi bila ushauri wa daktari.Hizi ni dawa hatari kwa figo zako - MUUNGWANA BLOG
 
Hapo kwenye green,mbona mswano tu,kwenye red ni kweli hata kuna kesi moja ilifunguliwa huko marekani kampuni ilishitakiwa kwa kuua figo,na walimlipa mhanga.
 
M
View attachment 505049

Mmmh!! Ngoja waje wenyewe wakujibu
 
Dawa ni sumu kama tunaweza kuepuka magonjwa.
 
Jambo moja mhimu la kufahamu, dawa yoyote ni SUMU inaweza kuleta madhara ndani ya viungo vya mwili. Kinachotofautisha hapo ni kuzingatia kiasi gani cha dawa unatakiwa kuchukua, kila baada ya muda gani na kwa urefu wa kipindi gani.

Tusipofuata utaratibu hata maji ni sumu, Panadol ni sumu nk.
 
View attachment 505049

Madawa ambayo yanaweza kusababishia uharibifu wa figo
Kuna orodha ndefu ya madawa yanayotumiwa na binadamu ambayo yanaweza kuharibu figo, hizi ni aina tofauti za dawa ambazo zinaweza kuharibu figo, nimezihorodhisha makundi kumi tofauti ya dawa ambazo ni hatari kwa figo zako.

Katika dawa hizo zipo;

1. Antibiotics

Hapa katika kundi la antibiotic kuna dawa hizi; Vancomycin, sulfonamides, ciprofloxacin na methicillin.

2. Dawa za kutuliza maumivu
Katika kundi la dawa za kutuliza maumivu, ukitumia, Acetominophen, aspirin, ibuprofen au naproxen, unaweza kuhathiri figo zako.

3.Dawa za kutuliza maumivu ya moyo( Heartburn medications)
Hapa kuna Omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), raberprazol (Rabecid), esomeprazole (Nexium) na lansoprazole (Prevacid).

4.Dawa za kuzuia virusi(Antiviral)
Katika kundi hili kuna Aciclovyr, tenofovir na indinavir.

5.Shinikizo la juu la damu(High blood pressure medications )
Captopril (Capoten).

6.COX-2 inhibitors
Celecoxib (chapa Celebrex), valdecoxib (chapa Bextra), rofecoxib (chapa Vioxx).
Dawa hizi za kipekee kutoka NSAIDs ziliaminika kuwa salama kwa ajili ya tumbo, lakini utumiapo zina uwezo mkubwa wa kuharibu figo zako.

7.Dawa za baridi yabisi(Rheumatoid arthritis drugs )
Chloroquine na hydroxychloroquine, infliximab (Remicade).

8. Bipolar disorder medications
Lithium.

9.Anticonvulsants
Phenytoin (Dilantin), trimethadione (Tridione).

10.Chemotherapy drugs
Mitomcycin,cyclosporine,tacrolimus,interferons,pamidronate,cisplatin,bevacizumab,quinine pamoja na propylthioracil

Kwa ushauri binafsi, unaweza pewa dawa hizi popote iwe hospitali au hata kwenye maduka ya madawa, pindi utumiapo moja ya dawa hizi tumia maji mengi ili kutoa ile sumu nyingi iliyopo kwenye hizi dawa, na usitumie dawa hizi bila ushauri wa daktari.Hizi ni dawa hatari kwa figo zako - MUUNGWANA BLOG
Sasa hapo ndio umebakiza dawa gani nzuri kwa Figo!!?? Si zote tu!! Au basi tutumie mitishamba sema!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom