Hizi ni dalili za ugonjwa gani?

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
169
uume kuingia ndani yaani kuwa mdogo pingili moja ya dole gumba la mkono, uume kusinyaa na kuwa mgumu. Maumivu makali kuanzia kiunoni mpaka mgongoni. Misuli ya mguu kuvuta. Nguvu ya kiume kupungua kwa kasi, NIMEPIMA SINA UGONJWA WOWOTE WA ZINAA. X RAY NA ULTRA SOUND HAKUNA TATIZO LOLOTE. Naombeni
ushauri wenu wa mawazo na tiba. Hasa uume kusinyaa na kuwa mfupi na mgumu. WAKATI MWINGINE NIKIINAMA UNASINYAA NAKUWA MFUPI PIA NIKIFANYA KAYI NGUMU AU KUTEMBEA SANA. Huu ni ugonjwa gani?
 
Mkuu pole sana lakini uwe unaweka thread moja inatosha naona km umeweka nyingi.
 
Back
Top Bottom