Hizi ndo tabia za wanawake warefu

Leta na wanaume warefu
 
Huu ni utafiti au umbea wa harusini?mana hakuna chanzo cha habari kama ni maoni yako binafsi ama utafiti.
 
uwongo uwongo weka mbali na binadamu.mtu anahekima alafu kibur na jeur?
Ni vizuri ukawa na uelewa wa kuzaliwa usisubiri hadi kila kitu utafuniwe, si wote wana hekima na si wote wana nyodo ni baadhi yao tu.
 
Unazungumzia wanawake warefu ama mke wako mrefu??
 


Nakuomba achana na viroba ndugu, hujui unachokiongea.
 
Kwanza ufahamu hakuna binadam aliekamilika sote tuna mapungufu vipi we umakamilika Kila sekta?? Huna upungufu hata kidogo???
 
Hizo Nyingine Nakubali Lakini Unaposema Sio Watamu Kitandani, I Doubt It. Kipi Ni Kigezo Cha Kupima Huo Utamu? Na Sampling Yako Umefanya Kwa Mademu WangapI Warefu.
 
Mi napenda sana wanawake warefu wembamba.yaani wenye maumbile ya kimiss...!!!!!
 
Kumbe hamna kwenye afadhal kuna Uzi nimeuona wanawake wafupi wana swimming pool huku tena waref wajeur,wavivu,cio watamu loh mi cjui nijiweke wapi
 
aisee umesema ni
1.wajeuri
2.viburi
3.wanajiamini kupindukia
Ila wengi wao wana hekima sana....hao hao wenye sifa 1,2 ndio wenye hekima?
huyu mleta uzi hajielewi kabisa asituvuruge vichwa vyetu
lini kiburi, jeuri na hekima vikakaa pamoja.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…