Home decoration
Member
- Oct 19, 2018
- 44
- 71
- Thread starter
-
- #41
Kwa kweli mkuu namshukuru sana mungu maana leo ilikua ngumu kupata hospital za kawaida nikapata za magendo ndo nahakikisha hapa ila namshukuru mungu mkuuππππBado,piga mbinja kwa furaha na upaze sauti yako ukinena ..."wokovu umeingia mahala hapa"...!
Hicho mbona ni kidonge cha fungusKwa kweli mkuu namshukuru sana mungu maana leo ilikua ngumu kupata hospital za kawaida nikapata za magendo ndo nahakikisha hapa ila namshukuru mungu mkuuππππ
Jitahidi,aidha uokoke,uwe muaminifu au uwe unatumia kondomu toleo jipya zipo kama suruali/kanyelamumo.Kwa kweli mkuu namshukuru sana mungu maana leo ilikua ngumu kupata hospital za kawaida nikapata za magendo ndo nahakikisha hapa ila namshukuru mungu mkuuππππ
Kuwa serious basi mkuu??Hicho mbona ni kidonge cha fungus
Ila si ndo zenyewe mkuu ??P
Nikajua kwa sasa MSD PEP zao wanazosambaza hospital za serikali zote ni rangi nyeupe pekee.
M,eya umeloweka...safi sana ndio raha ya mbushsu mwanawaneDawa za kuzuia maambukizi hiv ndani ya saa 48
Mkuuu msaada ππ, najua una uzoefu na arvM,eya umeloweka...safi sana ndio raha ya mbushsu mwanawane
Post Exposure Prophylaxis,zinatumika baada kuwa kwenye hatari ya kuambukizwa HIV either kupitia ngono zembe au needle prick kwa health care personel,zinatakiwa kutumia within 72 hour baada ya kuwa exposed.Na ni kwa mwezi mzima daily kidonge kimoja.PEP ndio nini na zinasaidia nini?
SIO MUDA WOTE UTAPATIA.Bado masaa kama 6 hvi mkuu ningeishaishaππ
Sawa sawa mkuu ila si ndo vyenyewePost Exposure Prophylaxis,zinatumika baada kuwa kwenye hatari ya kuambukizwa HIV either kupitia ngono zembe au needle prick kwa health care personel,zinatakiwa kutumia within 72 hour baada ya kuwa exposed.Na ni kwa mwezi mzima daily kidonge kimoja.
Yes ni zenyewe!Ila si ndo zenyewe mkuu ??
Nshkuru sana mkuuu, mungu akubarikiYes ni zenyewe!
Mie situmii hizo mwanawane....daktari wangu alinikatazaMkuuu msaada ππ, najua una uzoefu na arv
Ukiuza mechi wahi mapema kabla ya saa 72 itakua salamaNaomba kuuliza wakuu hizi ndo pepView attachment 3281045View attachment 3281046
PostmotamPEP ndio nini na zinasaidia nini?
ooh kumbe,asante kwa kunielimishaPost Exposure Prophylaxis,zinatumika baada kuwa kwenye hatari ya kuambukizwa HIV either kupitia ngono zembe au needle prick kwa health care personel,zinatakiwa kutumia within 72 hour baada ya kuwa exposed.Na ni kwa mwezi mzima daily kidonge kimoja.
Eh Kwan m panya niwe experiment kwakoπKuingiza mimba iliyogoma kuingia zinatumiwa sana na wanaopenda kutombwa kavu kavu na hawataki mimba kwa hio huwa wanameza hizo kwanza ili kuboost uwezekano wa kutokupata mimba, vipi unataka kuonja kisha niku tujaribu kutest km kweli zinafanya kazi?