hizi ndizo tofauti zetu!!!!!!!

Sidhani kama wanawake wazungungu wanapenda kuwa hizo figa.
 
Sidhani kama wanawake wazungungu wanapenda kuwa hizo figa.

Kilichokifanya uzungumzie "Uzungu" ni nini? kama ni hiyo cartoon ina maana wazungu wana nywele za Njano?? acha kukurupuka yeye amezungumzia in General!!...
 
"Huu mtako, watanikoma"

"Hili likifua, ntawapakata wengi"
 
Sidhani kama wanawake wazungungu wanapenda kuwa hizo figa.

Nadhani anamaanisha wanawake wakijiangalia hata kama yuko ok,anajiona kanenepaeana (especially wanawake wa kizungu). Angalia expression yake.

MWANAMKE - "HII MITAKO LAZIMA NIIFANYIE MAZOEZI IISHE YOOTE, YAANI MINYAMA UZEMBEE...AGHHHH!!!😡"
MWANAUME- "YAANI HII FIGURE YA SWAZINIGA SINA HAJA YA MAZOEZI, CHEKI ALBS HIZO ZA KIUKWELIII".:A S wink:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…