Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Nimepewa Line leo na niko naijaribu hapa imekuja na kifurushi cha bure ila sijaelewa kama 5times faster than normal 3G speed ndo hizi au hapa nilipo majanga...Speed zao nazilinganisha na Airtel 3G maana 2MB/sec hata Airtel kipindi wana vifurushi vyao vile sawa na bure nilikua mtumiaji na speed zilikua zinapanda mpaka 2.5MB/sec
UPDATE
Leo mchana niliponunua line ya 4G sikujua kwamba eneo la Upanga Magharibi kuna 4G hivo nilienda masaki kwa wadau zangu na ndo niliko testia speed haikua impressive hayo maeneo...Ila nimeshangazwa kwa nn wanasema maeneo yenye 4G ni mawili tu
Kwa sasa nipo hapa Upanga Magharibi speed kwa kweli ya ku download na ku stream Youtube ni moto wa kuotea Mbali kwa sasa naweza ku wa rate Tigo na 4G 8/10 stars
Tatizo tu kuna pages hazifunguki