Hizi ndizo sifa za mwanamke mzuri

Asimfanye mumewe chanzo cha vikoba kila muda naomba pesa nikafanye kitu kumbe anaenda kupiga umbea
 
Kinyaa cha kawaida kbs cha kibinadamu kile, kuna siku nimekaa siti moja kwenye daladala na mama kabandika mikucha ile bandia kwa ndani kumejaa uchafu hadi nikahama siti aseee
 
Hahahaaa. Sio kweli bwana Mshenga. Hao ni wazuri kwenye macho tu na walio wengi ni pasua kichwa pia. Teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…