Hizi ndizo sifa za mwanamke mzuri

Tunazungumzia mwanamke mzuri mkuu.

Hatuzungumzii mke bora...
 
Mwanamke mzuri ni:
1.mnyenyekevu
2.mtiifu
3.mwaminifu
4.mvumilivu
5.mwenye kiasi
6.hodari
7.mwenye hofu ya Mungu
 
Mwanamke mzuri ni:
1.mnyenyekevu
2.mtiifu
3.mwaminifu
4.mvumilivu
5.mwenye kiasi
6.hodari
7.mwenye hofu ya Mungu
Nakuapia wa hivyo hajawahi zaliwa kabisa hasa1-4 katika hii dunia. Ukitarajia hivyo utangoja mpaka mvi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…