KING 360
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,002
- 5,202
Ulisikia wapi malaika hasiejalibiwa anatoka KageraNamba 14 unaweza kuitwa mchochezi, hiyo ni sifa ya malaika asiyejaribiwa
Ulisikia wapi malaika hasiejalibiwa anatoka KageraNamba 14 unaweza kuitwa mchochezi, hiyo ni sifa ya malaika asiyejaribiwa
MaraHii inaweza kuwa kweli?
![]()
Wewe unabisha na wala hujauliza starehe ya nini? BAAAAAAAANGIIIIIIIIIIIII yake taaaaaaamu. Ukivuta unahisi uko Jumeirah beach hotel dubai unakula kitimotoTangia lini ara pakawa pa starehee aseeh..mtoa sifa hajawahi kaa hata 2days Ara.
Mkuu asante mkoa wangu unaheshimika sana hapo!!na isitoshe tangu kipindi hicho tangu enzi za mwalim alikuwa anujua!!Hii inaweza kuwa kweli?
![]()
Aseeh..sjui hilo kwamba Arusha mkoa unaoongoza kwa starehe ya kuvuta bangiWewe unabisha na wala hujauliza starehe ya nini? BAAAAAAAANGIIIIIIIIIIIII yake taaaaaaamu. Ukivuta unahisi uko Jumeirah beach hotel dubai unakula kitimoto