Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,632
- 29,907
Jana nlienda mtembelea jamaa yangu alikuwa na issue ya kumtandika kisawasawa mke wake. Nlishangaa sababu jamaa alikuwa kiukweli ni mpole sana.
Mara nyingi ukienda home kwake yeye ndo utamwona anahangaika kukuhudumia vinywaji chakula n.k mkewe anacheck tu movie au anachezea simu.
Nisiwachoshe. Shem wangu kiukweli kapigika.kapigija kiukweli ukweli..jicho lake la kushoto nlidhani halipo ndo nikaambiwa limefichwa kwa uvimbe uliotokana na kipigo heavy.
Jamaa anasema alimwambia kitu mkewe.mke akaendelea kutumia simu.akamwambia tena. Mke akawa anaendelea kutumia simu.akamwambia mara ya tatu. Mke akasema jamaa asubiri yeye mke amalize kuchat.
Jamaa akanona hyo ni madharau.(tamka mazarau) akamwambia hiyo simu ntaipasua.asalaaleeeeeeeeeee.....
Mwanamke akasema "kama we mwanaume kweli jaribu hata kuigusa...halafu akacheka kwa dharau/kebehi. Jamaa maji yakamfika shingoni akaichukua simu na kuipiga chini. Maskini....yule dada alikuwa kama kapandisha mashetani akampiga ngumi jamaa.
Jamaa akakumbuka miaka ile anapigana na vijana wenzie.basi alimtandika hasa yule mwanamke...hasa.mwanamke akapigika,akafirigisika,akalambika vibao na kugongeka ngumi za uso.
Jamaa kuja shtuka mwanamke amesambaa chini.ilikuwa issue.leo nmeitwa nikasuluhishe. Nimemwambia mwanamke kosa lake lilikuwa "....kama mwanaume kweli" kauli ya kifedhuri na pia kujaribisha kurusha punches kwa mumewe.hapo anahitaji mwanaume wa kizungu kumvumilia.wakibongo anakuchakaza haswaaaa...
Wanawake acheni kuleta ubabe.mtu akiwa mkimya mweshimu usianze chokochoko...na kuna wanawake bila kipigo hawasikii.sijui kwa nini?
Anyway ...sisi wanaume tusipige wake zetu.akikuudhi mkiss tu ondoka zako nenda kalale hotel.