Hizi ndizo ID ninazozipenda JF!

Hizi ndizo ID ninazozipenda JF!

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
13,292
Reaction score
31,930
Habari zenu wakuu!!

Hivi kwanini humu JF mnatumia ID za kustaajabisha sana! Yaani kuna mda nikikaa peke yangu huwa nacheka nikikumbuka baadhi ya ID! Mara ya kwanza nlikutana na hii hapa Tangopori nikasema mwe! Sijakaa sawa nkakuta na hii MziziMkavu, afu huyu mwingine Nyanidume
Sasa kiboko yao huyu kichwanazi yaani hili jina kila nkilisoma nacheka mwenyewe!
Si kule kwetu FB huwa tunaiita prince au unajiita carzola ze don a.k.a kingswade n.k!
Sasa huku si ajabu kukuta mtu anaitwa kula kwa tindo

Anywei hizo jinaz mi nazipenda!

NB: NIMEMALIZA FORM FOUR 2012 MSIJAJI UWEZO WANGU WA KUFIKIRI.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli.. Kuna mengine hata hayana maana mbaya wala nzuri.. Ila ukiyaona yanafurahisha! Binafsi Kuna id za watu huwa nazipenda tu.. I don't know y.
 
Ni kweli.. Kuna mengine hata hayana maana mbaya wala nzuri.. Ila ukiyaona yanafurahisha! Binafsi Kuna id za watu huwa nazipenda tu.. I don't know y.

hahahah aisee sijawahi kuiona hili jina! kinyoba daha nimeongeza list
 
Last edited by a moderator:
mkuu vipi hii ya kadoda11.haikuchekeshi...mimi kuna ya mdau mmoja ambaye kwa sasa haonekani jf.anaitwa MBUZI DUME.dah hii user id ilinibamba sana
 
Last edited by a moderator:
mkuu vipi hii ya kadoda11.haikuchekeshi...mimi kuna ya mdau mmoja ambaye kwa sasa haonekani jf.anaitwa MBUZI DUME.dah hii user id ilinibamba sana

Hii ya kado nilicheka sana akati niko skull kuna jamaa alikua anaitwa hivyo real name kabisa! Dah sasa na uyo MBUZI DUME naye! Itabidi akija tumuulize sababu ya kujiita hivyo!
 
Last edited by a moderator:
kuna jamaa anaitwa Bampami weeeeeeeeeee......jamaa very genius yaaani.
 
Hii ya kado nilicheka sana akati niko skull kuna jamaa alikua anaitwa hivyo real name kabisa! Dah sasa na uyo MBUZI DUME naye! Itabidi akija tumuulize sababu ya kujiita hivyo!

halafu nimekosea kumpa kik ya bure mbuzi dume....ni Mbuzi Mzee.kitambo sana sijui kapotelea wapi huyu mdau.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli.. Kuna mengine hata hayana maana mbaya wala nzuri.. Ila ukiyaona yanafurahisha! Binafsi Kuna id za watu huwa nazipenda tu.. I don't know y.

hahahaha kweli nyani halioni nanilii lake... kinyoba !!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom