Kagondo
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 296
- 79
Sasa Lindi na Mtwara kunufaika na Gesi aridhini mwao.
KWA takriban miezi minne sasa FikraPevu imekuwa ikiandika mfululizo kuhusu masuala ya mafuta na gesi asilia nchini katika harakati za kukuza uelewa wa wananchi katika sekta hiyo, lakini pia kutazama kama mikataba inayosainiwa ina manufaa kwa Watanzania.
Zaidi soma > Hizi ndizo faida za gesi asilia kwa mikoa ya Lindi, Mtwara | Fikra Pevu