Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
We jamaa Sasa hizi unazoshauri wasome ,Wakizisoma nazo mwisho supply nayo SI itakuwa kubwa kukiko demand? Mfano ualimu miaka ya 2010 ilikuwa Na guarantee ya kupata ajira. Kwani medical hali IPOJE?Education na Ualimu tofauti yake nini?
Mi najua nipe ramaniAjira zipo ila kwa taaluma za ujuzi zisizotaka uvivu
Tafuta mtu anayejua kutengeneza katuni bongo ambaye hana ajira
Ni changamoto kubwa sanaHuyu aliyeandika huu Uzi ndiye pia aina ya graduates waliojaa mtaani!
Ila naona kidogo records INA mwangaDegree ambazo zimesambaa mtaani na wengine WANAFUNGUA MADUKA NA KUJIAJIRI KWA PAMOJA TUNAITA KUPAMBANA:
DEGREE ZENYEWE NI HIZI:
Ualimu,
Human Resource
Economics
Law
Procurement and supply,
Secretary
Banking and Finance,
Community Development,
Public Relation,
Business Administration,
Record Management
Sociology
Sales marketing
Education
Business Management.
Supply imekuwa kubwa mno kuliko Demand
Kwenda kusomea hizi Course kwa sasa ni Kupoteza Hela na Mda wako tu
Supply ni Kubwa sana Na kila Mwaka inaongezeka Kuliko Demand
Ajira zimekuwa ngumu kupatikana cz watu wengi wamesomea vitu vile vile common miaka yote na vingine technology imetake place
Hali ni mbaya vijana wanapoteza mda na hela kusomea vitu ambavyo haviwasaidii cz kila mtu kasoma hivo vitu, Vijana wanachoma mahindi kwasabab ya kusomea Course ambazo zina supply kubwa sana kuliko Demand
Ushauri kwa Wadogo zangu angalieni na Course za kusoma sio unasoma ilimradi umesoma then unakuja kuteseka mtaani ajira hakuna
Unakuta mtu anasomea Human Resource au Procurement and supply kwa sasa then anategemea kuajiriwa wakati Supply ni Kubwa kuliko Demand then ukiangalia hizo faculty Technology imetake place
Ni Moja ya Cha Chanzo cha Ukosefu wa Ajira Kwa Tanzania, Watu wanasoma vitu vile vile ambavyo kila mtu amesoma miaka nenda rudi Kwa style hii Kazi za kuwaajiri wote zitatokea wapi.
Animation technology au..?Ajira zipo ila kwa taaluma za ujuzi zisizotaka uvivu
Tafuta mtu anayejua kutengeneza katuni bongo ambaye hana ajira
Mi najua nipe ramani
Na ndo lengo la elimu unasoma ili kufuta ujinga na sio lazima uajiriwe hiki kitu watu wakikijua tutafika mbali sanaWe jamaa Sasa hizi unazoshauri wasome ,Wakizisoma nazo mwisho supply nayo SI itakuwa kubwa kukiko demand? Mfano ualimu miaka ya 2010 ilikuwa Na guarantee ya kupata ajira. Kwani medical hali IPOJE?
Suluhisho -- tusome Kwa kufuta ujinga Ili tuendeshe shughuli zetu Kwa kutumia Elimu kdg tuliyopata tufanye kazi za kilimo, biashara na ufugaji Kwa kutumia Elimu kdg tuliyo nayo.
Akutumie pmWeka humu video yeyote ya cartoon uliyoitengeneza wewe mwenyewe
Ukishaweka nitakupa contact zangu na kukupigia pande uje ofisi za ubongo kids kwa ajili ya interview na wataalamu wa cartoon then upate ajira
Animation technology au..?
Good tunataka watu wa fact kama wewe anWeka humu video yeyote ya cartoon uliyoitengeneza wewe mwenyewe
Ukishaweka nitakupa contact zangu na kukupigia pande uje ofisi za ubongo kids kwa ajili ya interview na wataalamu wa cartoon then upate ajira.
Sio hao tu kuna watu kibao wanatafuta wataalamu wa cartoon bongo.
Aaaah sawa sawa.. naona hiyo course inatolewa UDOM pale sema ndo hivo practocal ni ishu nyingine aiseeeAnimation ndio. Sio ya madesa na vyeti hapana. Animation ya vitendo.
Uwe na portofolio ya kuonyesha watu kazi zako za nyuma. Na ukipewa test umtengeneze character fulani na umuweke movement fulani ufanye na output watu waione.
Sio kuonesha vyeti