Hizi ndizo aina za simu(Brand) duaniani kote...

Hiyo list haijkamilika or inawezekana haijawa updated, brand mfano meizu,, bq aquaris, tecno bado hazipo kwenye list wakat product zao zipo kwenye standards za kimataifa
 
Hiyo list haijkamilika or inawezekana haijawa updated, brand mfano meizu,, bq aquaris, tecno bado hazipo kwenye list wakat product zao zipo kwenye standards za kimataifa

Hahaah Tecno ipo standard ya kimataifa??? Mbona Marekani hakuna,Europe hakuna hata china penyewe hazipo

Fanya uchunguzi kwanza
 
Nilijua tu wakeleketwa wa TECNO watakuja juu! Nisamehe bure ndugu yangu

Hivi unaona unaandika kiswahili hicho??
Sijawahi kutumia techno na sitokuja kutumia.
Upeo wako mdogo sana hata kosa lako hujalijua bado.
 
Hivi unaona unaandika kiswahili hicho??
Sijawahi kutumia techno na sitokuja kutumia.
Upeo wako mdogo sana hata kosa lako hujalijua bado.

Wewe unajuaje kama unaandika kiswahili kizuri? And kumbuka humu kuna watu wa nchi mbali mbali sasa we andika kama wanatoa award humu
 
All mobile phone brands
Acer phones (60) Alcatel phones (279)
Allview phones (38) Amazon phones (7)
Amoi phones (47) Apple phones (22)
Archos phones (14) Asus phones (63)
AT&T phones (4) Benefon phones (9)
BenQ phones (31) BenQ-Siemens phones (27)
Bird phones (61) BlackBerry phones (76)
BLU phones (99) Bosch phones (10)
Casio phones (5) Cat phones (3)
Celkon phones (179) Chea phones (12)
Dell phones (18) Emporia phones (8)
Ericsson phones (40) Eten phones (22)
Fujitsu Siemens phones (2) Garmin-Asus phones (5)
Gigabyte phones (47) Gionee phones (18)
Haier phones (51) HP phones (31)
HTC phones (174) Huawei phones (135)
i-mate phones (34) i-mobile phones (37)
Icemobile phones (50) Innostream phones (18)
iNQ phones (5) Jolla phones (1)
Karbonn phones (53) Kyocera phones (18)
Lenovo phones (63) LG phones (481)
Maxon phones (31) Maxwest phones (14)
Meizu phones (4) Micromax phones (154)
Microsoft phones (6) Mitac phones (12)
Mitsubishi phones (25) Modu phones (8)
Motorola phones (398) MWg phones (5)
NEC phones (73) Neonode phones (3)
NIU phones (18) Nokia phones (418)
O2 phones (45) Oppo phones (16)
Orange phones (17) Palm phones (16)
Panasonic phones (54) Pantech phones (71)
Parla phones (7) Philips phones (214)
Plum phones (51) Prestigio phones (51)
Qtek phones (21) Sagem phones (120)
Samsung phones (928) Sendo phones (19)
Sewon phones (25) Sharp phones (40)
Siemens phones (94) Sonim phones (11)
Sony phones (67) Sony Ericsson phones (188)
Spice phones (94) T-Mobile phones (52)
Tel.Me. phones (7) Telit phones (30)
Thuraya phones (1) Toshiba phones (33)
Unnecto phones (13) Vertu phones (14)
verykool phones (68) VK Mobile phones (31)
Vodafone phones (59) WND phones (5)
XCute phones (4) Xiaomi phones (7)
Xolo phones (29) Yezz phones (35)
ZTE phones (120)

LATEST NEWS
T-Mobile US pre-order campaign for the Galaxy S5 is now live
OnePlus One gets a Snapdragon 801 upgrade
Samsung Galaxy S5 Zoom specs surface, 20MP camera in tow
HTC One M8 benchmarks show unparalleled performance
more news
LATEST REVIEWS
Nokia Lumia Icon review: Perfect frame
Samsung Galaxy Grand 2 review: Double vision
LG G Pro 2 review: See you 2morrow
more reviews

Nokia
Samsung
Motorola
Sony
LG
Apple
HTC
BlackBerry
HP
Huawei
Acer
Asus
Alcatel
Vodafone
T-Mobile
Toshiba
Gigabyte
Pantech
ZTE
Xolo
Micromax
BLU
Spice
Karbonn
Prestigio
verykool
Unnecto
Maxwest
Celkon
Gionee
NIU
Yezz
Parla
Plum
ALL BRANDS
RUMOR MILL
PHONE FINDER

Home News Reviews Blog Compare Coverage Glossary FAQ Links RSS feed Facebook Twitter
 
Hahaah Tecno ipo standard ya kimataifa??? Mbona Marekani hakuna,Europe hakuna hata china penyewe hazipo

Fanya uchunguzi kwanza

Standard za kimataifa hazisem ukiwa na bidhaa yako marekani ndio umekiz vigezo Hujui kuna bidhaa zinatengeneza marekani lakin haziuzwi nje, je utasema zina standard za kimataifa eti kisa zimetengenezwa usa! Tecno wenyewe wanatengeneza bidhaa kwa kulenga soko fulan i.e Africa so sio lazma wapeleke product zao europe or usa. Kitu kimoja tecno alichojitahidi ni kuwa anatengeneza jina lake mwenyewe, tofauti na campun nyingine zinaandika brand name ya samsung or nokia kumbe sio hizo ndio tunaita fake products
 
Hiyo list haijkamilika or inawezekana haijawa updated, brand mfano meizu,, bq aquaris, tecno bado hazipo kwenye list wakat product zao zipo kwenye standards za kimataifa
Tecno is a low quality and cheapest phones that target dumping area like Afrika sell their ----
Trust me Tecno doesn't exist kwenye ulimwengu wa smart phones zaidi ya kuikuta kwenywe viblog uchwara na website yao ambayo haina chochote cha maana
 
Hahaah Tecno ipo standard ya kimataifa??? Mbona Marekani hakuna,Europe hakuna hata china penyewe hazipo

Fanya uchunguzi kwanza

...kama hizi ndo fikra za vijana wa-kitanzania tunaowaita wasomi!!!???....basi Tanzania inasafari ndefu sana na sidhani kama ile sera ya David Cameron na Obama itapata upinzani hapa nyumbani kama ilivyopata Uganda kutoka kwa mzee Museveni....
 
H
Tecno is a low quality and cheapest phones that target dumping area like Afrika sell their ----
Trust me Tecno doesn't exist kwenye ulimwengu wa smart phones zaidi ya kuikuta kwenywe viblog uchwara na website yao ambayo haina chochote cha maana

labda unavyosema low quality utuambie ni kigezo/vigezo gani unavyotumia kugrade devices zao maana kama unaangalia specifications tecno ana device ambazo zina outperform devices za brand kubwa. Na ukisema cheapest hujui manufactures kama Samsung, Nokia, huawei huwa wanatengeneza devices mbalimbali (including cheap) kwa lengo la kutaget soko fulan depend na income ya watu
 
Tecno is a low quality and cheapest phones that target dumping area like Afrika sell their ----
Trust me Tecno doesn't exist kwenye ulimwengu wa smart phones zaidi ya kuikuta kwenywe viblog uchwara na website yao ambayo haina chochote cha maana

Dumping area labda kwenu ...
Utakua upo sawa na snura... umevurugwaaaas
 
Hoja yako yakwamba TECNO wamebase Africa inamlengo gani? Katika orodha yote hakuna simu iliyokuwa specified kwa ajili ya nchi fulani. Inaonekana wewe bado unakasumba ya uzungu na uarabu kwamba ni bora kuliko uafrica. Pole ndugu toka utumwani.
 
Siemen 25 is still the my fav, kupiga, kupokea, sms tu. Hizi zingine majanga mengi mara wasap, insta, kujichosha tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom