Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

1.2mil kama niliambiwa ndip entry ,huyo 1.3 nahisi ana miaka kuanzia 4 na kuendelea yaani Officer I.

Niliambia na huyo jamaa alifanya kazi miaka 4 bila ya kupanda cheo ,na training kila mwaka ni mara moja tu zile ,hamna safari wala nn .
Ila ukiwa CPA utalipwa more than 1.2m
 
Wakuu mambo ya ndani vip maokoto kam uhamiaj na polisi naskia nako kuzuri hasa ukiwa na bachelor naomb ufafanuzi
Kwa Polisi.

Mwenye bachelor ya non science faculty kama vile muhasibu, mwanasheria,Mwalimu na ugavi wanachukua basic ya 8640,000 ila kwa faculty za science kama IT na Forensic wanachukua 940,000.

Medical Doctor(MD) ni 1,500,000.

Professional Allowance ambayo ni 15% ya basic salary ni fixed kila mwezi.

Ration Allowance 300,000 Hii ni fixed kila mwezi.

Ikitokea umebaki CCP kama mkufunzi kuna Allowance ya 50% ya Basic salary.

Kwa uhamiaji sijui mkuu illa nasikia katika wizara ya mambo ya ndani uhamiaji ndio wako juu katika maswala nazima ya mishahara na stahiki zingine.

Hope you gotta concept.
 
Acha na tiraeiii mkuu,Hii taasisi ipo vizuri sana.

Tukiachana na package ya salary kua nzuri pia kuna vi tips vya hapa na pale.

Ukitaka uifurahie Hii kazi upate Mkoa wa kikodi ambao upo busy katika biashara mfano:; ILALA,TUNDUMA,DOM na KAHAMA.
Ni kweli nina mshikaji wangu amepata hizi ajira mpya si haba mzee.
Anamiezi 3.

Ila safafi ya kwanza ilikuwa ya wiki 3.
Safari ya pili wiki 2
Safari ya 3 wiki 2
Unaweza ona jinsi gani kulivyo na safari.
 
NIRC&HALMASHAURI the same tu kwenye salary. hakuna miujiza yoyote ya posho wala nini! kuna mwanangu nimemkuta huku anauza maziwa ili asavaivu

serikali ifanye tathmin scale za watumishi wa halmashauri. wengi macho yamekua mekundu kisa stress
Hivi tume ya Umwagiliaji kazi zao nyingi si za field?
Ina maana hawana marupurupu ya Night Out Allowance?
 
Kwa Polisi.

Mwenye bachelor ya non science faculty kama vile muhasibu, mwanasheria,Mwalimu na ugavi wanachukua basic ya 8640,000 ila kwa faculty za science kama IT na Forensic wanachukua 940,000.

Medical Doctor(MD) ni 1,500,000.

Professional Allowance ambayo ni 15% ya basic salary ni fixed kila mwezi.

Ration Allowance 300,000 Hii ni fixed kila mwezi.

Ikitokea umebaki CCP kama mkufunzi kuna Allowance ya 50% ya Basic salary.

Kwa uhamiaji sijui mkuu illa nasikia katika wizara ya mambo ya ndani uhamiaji ndio wako juu katika maswala nazima ya mishahara na stahiki zingine.

Hope you gotta concept.
Vipi kuhusu upande wa pili kule
 
Back
Top Bottom