Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Huyo nshakwambia achana nae mkuu
 
Sawa mkuu kina Cha chini ni milion tatu according to you sio?
Yaani kama ulisoma hiyo shule sijui ilikusaidia nini.

Umeanza kukera aiseee, tunatoka kwenye kujadiliana tunaingia ktk mabishano kama watoto wa chuo.
 
Yaani kama ulisoma hiyo shule sijui ilikusaidia nini.

Umeanza kukera aiseee, tunatoka kwenye kujadiliana tunaingia ktk mabishano kama watoto wa chuo.
Hili jukwaa huru mkuu sijavunja sheria why ukereke na maoni ya wengine jichunguze utakuwa na tatizo si bure.
Umesahau slogan ya huu mtandao.
By the way soma hizo screenshot za kutoka Uzi mwingine humu JF na muache kunishambulia nyie wanafunzi wa chuoni.
 
Ila nchi zetu umasikini bado Sana , Yani laki 9 Ni sawa na Kama dola 450 hivi mtu ndio analipwa kwa mwezi.


Aiseeh tujikwamueni bado tupo kwenye umasikini

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hao wajeda hyo ni out of mshahara the rest huko majanga.
Imagine hvo viwango vilivo vidogo nikeweka screenshot kutoka kwa Uzi wa humu humu JF.
Serikali iboreshe salary wallah Ili watumishi wawe na moyo na sio kujikita na ujasiriamali zaidi badala ya kutoa huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…