Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
14,651
2,000
Sio kwamba wewe ndio unajidanganya aisee? Unabisha kitu ambacho watu tu hawawezi kuji - expose humu, nikupe mfano, unajua graduate wa degree mfano akiingia tu TRA anakula ngapi au unaweka ubishi tu? ila ngoja nikuache tu umekaa kubishana bishana sana.
Huyo nshakwambia achana nae mkuu
 

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
14,651
2,000
Mashamba uyu kuna watu

fuel allowance tu 1m

mawasiliano 3lk

House 5lk

Basic 1.8

Huyo ni waserikali na ana miaka 4 kazin tunao maofisin
Uyo jamaa hapo juu kuna mawili, moja hana kazi ndo maana yupo na presha za mishahara, mbili shule tatizo kwake.
 

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
14,651
2,000
Sawa mkuu kina Cha chini ni milion tatu according to you sio?
Yaani kama ulisoma hiyo shule sijui ilikusaidia nini.

Umeanza kukera aiseee, tunatoka kwenye kujadiliana tunaingia ktk mabishano kama watoto wa chuo.
 

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
20,711
2,000
Yaani kama ulisoma hiyo shule sijui ilikusaidia nini.

Umeanza kukera aiseee, tunatoka kwenye kujadiliana tunaingia ktk mabishano kama watoto wa chuo.
Hili jukwaa huru mkuu sijavunja sheria why ukereke na maoni ya wengine jichunguze utakuwa na tatizo si bure.
Umesahau slogan ya huu mtandao.
By the way soma hizo screenshot za kutoka Uzi mwingine humu JF na muache kunishambulia nyie wanafunzi wa chuoni.
Screenshot_20211124-085049_1.jpg
Screenshot_20211124-085511_1.jpg
Screenshot_20211124-085511_1.jpg
 

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
20,711
2,000
Ila nchi zetu umasikini bado Sana , Yani laki 9 Ni sawa na Kama dola 450 hivi mtu ndio analipwa kwa mwezi.


Aiseeh tujikwamueni bado tupo kwenye umasikini

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hao wajeda hyo ni out of mshahara the rest huko majanga.
Imagine hvo viwango vilivo vidogo nikeweka screenshot kutoka kwa Uzi wa humu humu JF.
Serikali iboreshe salary wallah Ili watumishi wawe na moyo na sio kujikita na ujasiriamali zaidi badala ya kutoa huduma
Screenshot_20211124-085511_1.jpg
Screenshot_20211124-085049_1.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom