Hizi ndio Taarab!

tupo pamoja mkuu kwenye taarab kama hizi za zilipendwa.
 
Rangi yako ya samawi kama sufi ngozi yako
Nakukuacha haiwi tabasamu na cheko lako
Naiona wazi wazi ishara ya pendo lako.
Duh!zamani zamani sio siku hizi kunukishana vikwapa.
 
Hapa ilikuwa raha tupu, hakuna ndombolo wala vibweka. Ilikuwa unakwenda kusikiza taarabu na familia. Lakini leo vurugu hata raha ya kuingia dansi la taarabu haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…