Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,278
MahaLI ambapo watanzania tulipokuwa tumefikia palikuwa pabaya sana na sijui kama kwa kipindi hiki kifupi kitaweza kurekebishika.
Kwani Watu walishaona chaguzi hazina maana tena. Na Watu wakfikia kutotamani chaguzi tena. Kinachofuata ni mda tu kwani watakuwa na viongozi wasiyo wachagua na mvutano wake ni mbaya sana.
Mimi nawashukuru CHADEMA kwa kujaribu kutaka kuleta muafaka kwa wananchi ila bila kuona nia njema niseme kweli uchaguzi wa mwaka ujao 2024 na 2025 watapiga kura CCM na watoto wao.
Sidhani Watu watakuwa tayari kukaa kwenye foleni kisha yatokee yale ya 2019 au 2020.Never ever.
Unapigana vita ambayo hutashinda, na dalili zote unaziona. Nani akiachiwa CDM leo ataweza kuwa na misimamo kama ya Mbowe.
Wengi wananjaa na fasta watageuka na kuwa kama ZZK & Co.
Kwa aliyoyafanya Mbowe yanatosha, tumpatie mzinga wa asali akae nao pale Hai kabisa, apumzike sasa.
Kwa taarifa yako Mbowe alikuwa na msimamo kabla ya kumpokea Lowassa 2015, baada ya hapo Mbowe amekuwa wa kawaida sana. Na huku anakoelekea Mbowe sasa ni njia ya kina Mrema, Cheyo, Lipumba nk. Niliwahi kuonya kuwa ni kosa kwa kiongozi yoyote wa kuchaguliwa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 kwenye nafasi moja. Kiongozi akikaa zaidi ya miaka 10 kwenye nafasi moja, hata mazuri yake yote huanza kuharibika. Fuatilia ilivyokuwa kwa Nyerere, Moi, Museveni, Mugabe, Gaddaf, Elbashir, Mubarack nk. Namuona Mbowe kwa kasi kwenye njia hiyo.

Huko kwenye chaguzi ni suala la muda tu. Kumbuka huyu mama hajawahi kushindanishwa, lakini usisahau hata JK alifanya anayofanya huyu mama ila lilipokuja suala la kushindanishwa waliachana na uadui ukabaki pale pale. Hata CUF na CCM zanzibar.MahaLI ambapo watanzania tulipokuwa tumefikia palikuwa pabaya sana na sijui kama kwa kipindi hiki kifupi kitaweza kurekebishika.
Kwani Watu walishaona chaguzi hazina maana tena. Na Watu wakfikia kutotamani chaguzi tena. Kinachofuata ni mda tu kwani watakuwa na viongozi wasiyo wachagua na mvutano wake ni mbaya sana.
Mimi nawashukuru CHADEMA kwa kujaribu kutaka kuleta muafaka kwa wananchi ila bila kuona nia njema niseme kweli uchaguzi wa mwaka ujao 2024 na 2025 watapiga kura CCM na watoto wao.
Sidhani Watu watakuwa tayari kukaa kwenye foleni kisha yatokee yale ya 2019 au 2020.Never ever.
Dogo huu uchaguzi wa mwaka 2020 mnautumia kama kichaka cha yanayoendelea na vituko vya akina Mbowe,Zitto na wenzao.Mkuu umesema kweli kabisa, hata uchaguzi wa 2020 wapiga kura hawakufika 10m japo Magufuli alishurutisha kutangazwa kwa zaidi ya kura 10m! Haya mambo aliyoanza Mbowe ya kukaa meza moja na Ccm na kufanya miafaka huku wapinzani wakiwa second class, basi uchaguzi wa 2025 wapiga kura sitegemei wafike hata 5m.
Hiyo 2025 itaonekana idadi halisi ya wapiga kura wa CCM. Sioni mtu anayejitambua kwenda kujipanga kwenye mstari kupiga kura. Huko kwa wananchi hata viongozi waliochaguliwa wakiitisha mikutano ya hadhara wananchi wanatokea kwa uchache mno. Na kadiri muda unavyokwenda ndio viongozi wanazidi kupuuzwa. Ukiona mkutano watu wamejaa, basi imetumika nguvu kubwa ya pesa, na kimamlaka kuhakikisha watu wanajitokeza.
Mpeni Uenyeketi Tundu Lissu, John Heche au Mnyika.
Mbowe hakusema hivyo amesema kuna tofauti kubwa kati ya Samia na Magufuli, lakini1. Freeman Mbowe kabla ya kwenda Ikulu
Tuwe makini na Suluhu Samia, ni zao la CCM.
2. Freeman Mbowe baada ya kutoka Ikulu.
Nina imani kubwa sana na Rais Suluhu Samia na chama chake Cha CCM amefanya mambo makubwa sana na nimeona commitment yake.
Hatuna Haja ya Kuwa na aina Hii Ya Upinzani
Mpeni Uenyeketi Tundu Lissu, John Heche au Mnyika.
Nyie watu bana.. Kwanza Mbowe hakusema hayo maneno mtoa mada aliyosemaMpeni Uenyeketi Tundu Lissu, John Heche au Mnyika.
Dogo huu uchaguzi wa mwaka 2020 mnautumia kama kichaka cha yanayoendelea na vituko vya akina Mbowe,Zitto na wenzao.
Sasa hivi kuna bajeti inaendelea bungeni,kuna maamuzi mbalimbali ya serikali.Je upinzani hauna hoja mbadala ya kuzungumza?
Hata kama "mlinyanyswa" ndio iwafanye sasa muunge juhudi za serikali asilimia 100?
Je hiki kinachoendelea "usuluhishi kati ya Chadema na CCM" nani msuluhishi huru? kama alivyokuwa Nyerere/Mandela mgogoro wa Burundi au Annan mgogoro wa Odinga na Kibaki huko Kenya?
Ila Ikulu inayotumia maamuzi ya "bunge kibogoyo" ipo sahihi.Bajeti inapingwa bungeni na sio huku nje. Isitoshe nani anafuatilia habari za hilo bunge kibogoyo? Kwa taarifa yako watu wanaojitambua wamelipuuza hilo bunge, hivyo hakuna anayejali nini kinajadiliwa na hilo bunge la majizi ya kura.
Kasema hayo Ad Verbatim ?1. Freeman Mbowe kabla ya kwenda Ikulu
Tuwe makini na Suluhu Samia, ni zao la CCM.
2. Freeman Mbowe baada ya kutoka Ikulu.
Nina imani kubwa sana na Rais Suluhu Samia na chama chake Cha CCM amefanya mambo makubwa sana na nimeona commitment yake.
Hatuna Haja ya Kuwa na aina Hii Ya Upinzani
Mbowe hakusema hivyo amesema kuna tofauti kubwa kati ya Samia na Magufuli, lakini
Nyie watu bana.. Kwanza Mbowe hakusema hayo maneno mtoa mada aliyosema
nilikuwa namsikiliza alikuwa akizungumzia klatika context ya kujadiliana kati ya CCM na Upinzani, akasema Magufuli na Samia ni kama Mbingu na ardhi, Magufuli alikuwa akiona wapinzani kama wahaini ila Samia amekaa nao chini kujadili na wameanza tu na wana vikao zaidi vinafuata, bado hawajafikia muafaka wa lolote
Tundu Lissu mwenyewe aliongea akasema pia Magufuli na Samia, Samia ana nafuu kubwa, sababu kawaachia wanachama wao wengi waliokuwa mahabusu kwa kesi za mchongo, na angalau wamekubali kuzungumza, lakini akatoa tahadhari kuwa hajabadilisha sheria yoyote kandamizi zilizowekwa na Magufuli wala kutoia zuio la mikutano ya vyama lakini hilo wanalizungumzia kwenye majadiliano yanaendeleo wataona itakuwaje.
Sasa kuna shida gani hapo? Samia hana tofauti na Magufuli kweli? hamtaki mazungumzo mnataka kuandamana? Mliandamana Mbowe alipokamatwa kwa kesi ya ugaidi? hata mlienda mahakamani kusikiliza?
hawa wanaochochea mfarakano na maandamano wengi ni sukuma gang ili ku prove point yao kuwa Chadema ni wahalifu na Samia hatakiwi kuwapa nafasi bali bunduki na marungu, kisha wanakaa kuchekelea

Ila Ikulu inayotumia maamuzi ya "bunge kibogoyo" ipo sahihi.
Huu "mgogoro" wenu na "majizi ya kura" nani msuluhishi huru?